Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana

Mnasumbua tu mahakana
unajua maana ya hacking?
 
Hii kesi inavyoendelea upande wa serikali wamebaini upande wa utetezi wamejipanga sana.
Ni tofauti na walivyokua wakidhani.

Jinsi kesi inavyoendelea wanazidi kubaini wamekurupuka.

Shahidi jana kutofika ni moja ya dalili.

Ngoja tuone leo.
 
Naona raia wameleta shida,wamemleta SSP Madembwe Seba..polisi,kuwa shahidi kwa leo
 
Chaggadomo bana 🤣🤣🤣

 
Wakili msomi wa tigo kashindwa kujieleza kila kiti anafanya yeye kwenye ofisi.
 
Yaani huu ni upuuzi mtupu.. Mambo ya isidingo haya.
 
Shahidi mfupi amevaa kaunda😀😀
 
Mbona imeishia hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…