Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

hawa askari walikuwa wanatunga hadithi ambayo ilikosa uhariri......project ya hovyo kabisa....kibaya sana WANACHEZEA FEDHA ZA WANANCHI WAZI WAZI.....TUNAKATWA MITOZO wanachezea fedha kulipana lipana kwenye kesi ya maigizo
Yaani kila nikipata nafasi ya kukwepa KODI ya serikali nitafanya hivyo.Haiwezekani nikupe Kodi inayoenda kuharibiwa hivi.Yaani nimeumia yule Shahidi ANITHA (Muuza Mbege) kuja Dsm ana Kula na kunywa bure kule MASAKI Kwa Kodi yangu halafu anakuja kutoa ushahidi wa Uongo.
 
Huyo Shahidi SSP MADENGE tayari ni muongo,hawezi kuwa aliajiriwa 2/9/1999(hakukuwa na Depo CCP iliyomaliza Mafunzo tarehe hiyo)
Nakumbuka 1998 jamaa zangu wengi niliomaliza nao six walijiunga na Jeshi hili, hivyo siamini kama 99 kukikuwa na ajira tena
 
Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana

Mnasumbua tu mahakana
Ulizaliwa kwa bahati mbaya sana.
 
Mm naona hapa Jaji ni msimamizi wa kituo cha kupigia kura, mawakili wa serikali ni makarani wake na polisi ni Mkurugenzi mtendaji mwenye kadi ya chama. Jaji naona anapiga simu hapa na kuuliza kiupole imekuwa kuwaje tena. Ila amesema sawa ila tuwe makini.
 
Jeremiah Mtobesya amegundua jina la shahidi wa Jamhuri limekosewa (lakini sio shida) akabaini kwamba kwenye Committal Proceedings hawakuonyesha maelezo ambayo atakuja kufafanua mahakamani na hawakutumia CPA 289 kuomba kiingizwe. Hivyo ushahidi wa SSP Sebastien Madembwe ni BATILI.

martin
 
Kifungu cha 246(2) kinaeleza kila ushahidi ambao utatumika dhidi ya mtuhumiwa, uandikwe na kusomwa kwenye Committal Proceedings (subordinate Court). Sheria imesema ni LAZIMA. Adv. Mtobesya anasema ushahidi unaotolewa leo haupo kwenye ‘commital bundle’ na hivyo haukusomwa.

Martin
 
Jamuhuri inataka kufanya uhuni. Pamefika Patamu kufahamu kama Jaji amewekwa kimkakati ama laa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…