Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

Huyu jaji mwenyewe inaonekana anapendelea upande wa jamhuri sana au ni kwamba mawakili wa Mbowe hawajui sheria vizuri?
 
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami.

==============

Jaji ameingia.

Kesi inatajwa
Jaji Luvanda mwingine kaingia kwenye hii kesi. Mawakili wa utetezi jipangeni. Hapa maamuzi tayari hawa watu wanayo.
 
Jaji: Ni Msimamo wa sheria Kuwa pale ambapo Ushahidi unakuwa haujasomwa basi hauwezi kupokelewa mahakamani labda kama wataomba kama ilivyoelezwa na Wakili Mtobesya kwenye Kifungu cha 289 CPA Jambo linalobishaniwa ni kwamba ushahidi haukusomwa hapa mahakamani

Jaji: Mahakama inayo Jukumu la kukagua Kama Ushahidi Kama Ulisomwa au Haukusomwa Mbele Ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakati Wa Committal Inasomwa Mahakama Wakati Ina Examine Record Imeona Kwenye Ukurasa wa 21 Maneno Yafuatayo Kwamba Ushahidi Na Mashahidi Yamesomwa kwa Washtakiwa

Akasema Hakimu Simba Tarehe 23 08 2021 Akaorodhesha Mashahidi 21 na Jina la Shahidi Namba 06 linaonekana Katika Ukurasa wa 31 Na Kwamba Mashahidi hao waliorodheshwa na Maelezo yao yalisomwa Mbele ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Huo ndiyo Msimamo na Kumbukumbu za Mahakama

Kwamba Maelezo yote yalisomwa na Kwamba Ushahidi huo Ukisomwa Na Mahakama haikuishia hapo Kama Nilivyosema Katika ku' Examine Mahakama Ikaona Kuna Maelezo Ya Shahidi namba 06 Kumbe yalisomwa na Kwamba Tatizo Maelezo hayo hayakuunganishwa Katika Kifurushi cha Comito Proceedings

Jaji: Kutokwemo Katika kifurushi haimaanishi Ushahidi Wa shahidi Namba 06 haukusomwa Mahakama Inaona Pingamizi Halina Mashiko Lengo la Pingamizi Ilikuwa Ku Impeach Record za Mahakama Maelezo Yalipo Mahakamani Yana onyesha Ushahidi Ulisomwa hivyo naelekeza Sasa Shahidi Aendelee

Mawakili Wote wanamyanyuka Ishara ya Kukubaliana na Jaji

Kibatala chali
 
Tulieni shahidi anaendelea kuongozwa na wakili wa serikali, kama unaona kuna mahali anakosea msemage mapema

Maana kibatala akianza hakuna poo
 
Jaji: Ni Msimamo wa sheria Kuwa pale ambapo Ushahidi unakuwa haujasomwa basi hauwezi kupokelewa mahakamani labda kama wataomba kama ilivyoelezwa na Wakili Mtobesya kwenye Kifungu cha 289 CPA Jambo linalobishaniwa ni kwamba ushahidi haukusomwa hapa mahakamani

Jaji: Mahakama inayo Jukumu la kukagua Kama Ushahidi Kama Ulisomwa au Haukusomwa Mbele Ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakati Wa Committal Inasomwa Mahakama Wakati Ina Examine Record Imeona Kwenye Ukurasa wa 21 Maneno Yafuatayo Kwamba Ushahidi Na Mashahidi Yamesomwa kwa Washtakiwa

Akasema Hakimu Simba Tarehe 23 08 2021 Akaorodhesha Mashahidi 21 na Jina la Shahidi Namba 06 linaonekana Katika Ukurasa wa 31 Na Kwamba Mashahidi hao waliorodheshwa na Maelezo yao yalisomwa Mbele ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Huo ndiyo Msimamo na Kumbukumbu za Mahakama

Kwamba Maelezo yote yalisomwa na Kwamba Ushahidi huo Ukisomwa Na Mahakama haikuishia hapo Kama Nilivyosema Katika ku' Examine Mahakama Ikaona Kuna Maelezo Ya Shahidi namba 06 Kumbe yalisomwa na Kwamba Tatizo Maelezo hayo hayakuunganishwa Katika Kifurushi cha Comito Proceedings

Jaji: Kutokwemo Katika kifurushi haimaanishi Ushahidi Wa shahidi Namba 06 haukusomwa Mahakama Inaona Pingamizi Halina Mashiko Lengo la Pingamizi Ilikuwa Ku Impeach Record za Mahakama Maelezo Yalipo Mahakamani Yana onyesha Ushahidi Ulisomwa hivyo naelekeza Sasa Shahidi Aendelee

Mawakili Wote wanamyanyuka Ishara ya Kukubaliana na Jaji
Uzi tayari? Kweli nchi hii ina wajinga wengi sana.

Haya tupe mahojiano ya shahidi na mawakili.
 
Ngoja waje wanaufipa na malalamiko yao tuwasikilize!
 
kupotezeana muda tu kaka, nasikia shahidi wa jana akaona hawezi kushiriki dhambi akakubali liwalo na liwe, kawagomea macho makavuu.

Tusidanganyane hapa,hakuna mtu mwenye jeuri ya kuigomea Jamhuri kutoa ushahidi na especially kama ni mwajiriwa,iwe Serikalini wala Sector binafsi.Kwa mfumo tulionao kwa sasa,ataagizwa Boss wako na utakwenda.Huo ndiyo ukweli.
 
Hii kesi kwa kusoma ni sawa na kusoma lyrics za nyimbo ukijua kwamba unasikiliza muziki...

Kuna vingi tunavikosa, maandishi hayawezi tuonyesha body language za wahusika , kutetemeka, vigugumizi n.k

Inasikitisha sana...
 
Ni uzi mzuri sana tu Mawakili wa Ufipa wamepigwa chini.
Kwa kunyimwa nyaraka ili wasiuliuze maswali. ?!
MaCCM wote akili zenu hazina akili.

Ukweli ni kwamba tumefika hapa kwa kuwa CCM ni Chama maiti.
Chama hai hufanya siasa za ushindani na hakiogopi mwenyekiti wa upinzani wake, na kumpa makesi ya uongo yasio na kichwa wala miguu . MaCCM mmekwama sana.
 
Serikali ya CCM bado imeng'ang'ana kutaka kumfunga tu Mbowe ili iridhike - ha ha haha

Haya tunarudi saa 8:15 tuendelee !!
 
Back
Top Bottom