Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize mwanasheria wa TIGO ana habari zote.Huyu jaji mwenyewe inaonekana anapendelea upande wa jamhuri sana.au ni kwamba mawakili wa mbowe hawajui sheria vizuri?
Jaji Luvanda mwingine kaingia kwenye hii kesi. Mawakili wa utetezi jipangeni. Hapa maamuzi tayari hawa watu wanayo.Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami.
==============
Jaji ameingia.
Kesi inatajwa
Mkuu, kwa faida ya tuliopo hapa jf, fafanua kama kuna unalolijua.Kamuulize mwanasheria wa TIGO ana habari zote.
AmenMungu wa mbinguni awabariki!
Majina yote yametajwa, halisi sijui ni lipi!Madenge au Madembwe?
Uzi tayari? Kweli nchi hii ina wajinga wengi sana.Jaji: Ni Msimamo wa sheria Kuwa pale ambapo Ushahidi unakuwa haujasomwa basi hauwezi kupokelewa mahakamani labda kama wataomba kama ilivyoelezwa na Wakili Mtobesya kwenye Kifungu cha 289 CPA Jambo linalobishaniwa ni kwamba ushahidi haukusomwa hapa mahakamani
Jaji: Mahakama inayo Jukumu la kukagua Kama Ushahidi Kama Ulisomwa au Haukusomwa Mbele Ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakati Wa Committal Inasomwa Mahakama Wakati Ina Examine Record Imeona Kwenye Ukurasa wa 21 Maneno Yafuatayo Kwamba Ushahidi Na Mashahidi Yamesomwa kwa Washtakiwa
Akasema Hakimu Simba Tarehe 23 08 2021 Akaorodhesha Mashahidi 21 na Jina la Shahidi Namba 06 linaonekana Katika Ukurasa wa 31 Na Kwamba Mashahidi hao waliorodheshwa na Maelezo yao yalisomwa Mbele ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Huo ndiyo Msimamo na Kumbukumbu za Mahakama
Kwamba Maelezo yote yalisomwa na Kwamba Ushahidi huo Ukisomwa Na Mahakama haikuishia hapo Kama Nilivyosema Katika ku' Examine Mahakama Ikaona Kuna Maelezo Ya Shahidi namba 06 Kumbe yalisomwa na Kwamba Tatizo Maelezo hayo hayakuunganishwa Katika Kifurushi cha Comito Proceedings
Jaji: Kutokwemo Katika kifurushi haimaanishi Ushahidi Wa shahidi Namba 06 haukusomwa Mahakama Inaona Pingamizi Halina Mashiko Lengo la Pingamizi Ilikuwa Ku Impeach Record za Mahakama Maelezo Yalipo Mahakamani Yana onyesha Ushahidi Ulisomwa hivyo naelekeza Sasa Shahidi Aendelee
Mawakili Wote wanamyanyuka Ishara ya Kukubaliana na Jaji
Ngoja waje wanaufipa na malalamiko yao tuwasikilize!Jaji: Ni Msimamo wa sheria Kuwa pale ambapo Ushahidi unakuwa haujasomwa basi hauwezi kupokelewa mahakamani labda kama wataomba kama ilivyoelezwa na Wakili Mtobesya kwenye Kifungu cha 289 CPA Jambo linalobishaniwa ni kwamba ushahidi haukusomwa hapa mahakamani
Jaji: Mahakama inayo Jukumu la kukagua Kama Ushahidi Kama Ulisomwa au Haukusomwa Mbele Ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakati Wa Committal Inasomwa Mahakama Wakati Ina Examine Record Imeona Kwenye Ukurasa wa 21 Maneno Yafuatayo Kwamba Ushahidi Na Mashahidi Yamesomwa kwa Washtakiwa
Akasema Hakimu Simba Tarehe 23 08 2021 Akaorodhesha Mashahidi 21 na Jina la Shahidi Namba 06 linaonekana Katika Ukurasa wa 31 Na Kwamba Mashahidi hao waliorodheshwa na Maelezo yao yalisomwa Mbele ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Huo ndiyo Msimamo na Kumbukumbu za Mahakama
Kwamba Maelezo yote yalisomwa na Kwamba Ushahidi huo Ukisomwa Na Mahakama haikuishia hapo Kama Nilivyosema Katika ku' Examine Mahakama Ikaona Kuna Maelezo Ya Shahidi namba 06 Kumbe yalisomwa na Kwamba Tatizo Maelezo hayo hayakuunganishwa Katika Kifurushi cha Comito Proceedings
Jaji: Kutokwemo Katika kifurushi haimaanishi Ushahidi Wa shahidi Namba 06 haukusomwa Mahakama Inaona Pingamizi Halina Mashiko Lengo la Pingamizi Ilikuwa Ku Impeach Record za Mahakama Maelezo Yalipo Mahakamani Yana onyesha Ushahidi Ulisomwa hivyo naelekeza Sasa Shahidi Aendelee
Mawakili Wote wanamyanyuka Ishara ya Kukubaliana na Jaji
Ni uzi mzuri sana tu Mawakili wa Ufipa wamepigwa chini.Uzi tayari? Kweli nchi hii ina wajinga wengi sana.
Haya tupe mahojiano ya shahidi na mawakili.
Awabariki watenda haki na siyo watesi wetu.Mungu wa mbinguni awabariki!
kupotezeana muda tu kaka, nasikia shahidi wa jana akaona hawezi kushiriki dhambi akakubali liwalo na liwe, kawagomea macho makavuu.
safi, kumbe unakubali kwamba mfumo ulionao ni wa hivyo ee.Kwa mfumo tulionao kwa sasa,
Leo walau mmpata kapointi kakuombea 7000/-Ngoja waje wanaufipa na malalamiko yao tuwasikilize!
Kwa kunyimwa nyaraka ili wasiuliuze maswali. ?!Ni uzi mzuri sana tu Mawakili wa Ufipa wamepigwa chini.