Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

Ningekuwa wakili wa utetezi ningezungumzia sana barua ya utetezi. Shahidi amekana ilipita kwa watu wengine. Ni kama ilikuja kwake na akaishighulikia bila mtu mwingine mpaka ikatoka. Na huku yeye ni legal officer tu!

Kawaida ya makampuni, jambo kama hili nimla uongozi wa juu kabisa, na legal officer angeombwa tu kutoa ushauri wa itajibiwa vipi na taarifa zitakuwa na kikomo gani!! Inashangaza legal officer ndio anakuwa tena na utaalamu wa IT kiasi anaweza kufanya anachoambiwa na outside entity kwa kuwa tu ni ya serikali kufanywa wanachotaka bila hata kujua sababu ni nini.

Ningependa kujua kama uongozi wa Tigo ndio uliotoa maelekezo wa aliyofanya shahidi!! Au jamaa ni mmoja wa wadukuzi ndani ya Tigo.
 
Mbowe atakula miaka kwa ushahidi-usiopingika
 
Kwa mawakili wenye akili lakini hawa mawakili mipasho- BURE KABISA
 
Pana haja ya kuyachukulia hatua:

1. Kuyashtaki mahakamani huko huko kwa Siyani
2. Kuachana nayo kama tulivyopiga chini miamala ya simu.
3. Au vyote kwa pamoja.
ANZISHENI
CHADEMA -audio
Mbowe-Pesa
Freeman -data
ILA VIDEZO NA MASHARTI VITAZINGATIWA
 
Hata mm nilishangaa sana sijui hawa vijana wanasomaje mbona wako empty sana vichwani?Ukimkumkuta mtaani utafikiri wa maana na shule ipo kumbe hamna kitu.
 
Hasira za nn sasa?? Au baada ya kugundua mlichemsha mahali??? Mkiwa waongo jifunzeni kuwa na kumbukumbu. Yule mwingine kasema alikutana na Mh Longido kumbe wakati huo Mh alikuwa gerezani. Hapo mpumbavu/wapumbavu ni nani/kina nani???

Mkuu hawawezi kukosa hasira. Majibu hoja ipi pale?



Hiyo ndiyo maana ya kupigwa na vitu vizito.

Viva timu kabambe ya utetezi, Viva!
 
Huyu kama hawajamfurusha hadi sasa watakuwa wanajitoa kimasomaso tu.
Hata yeye haendi tena ofini yaani mpaka sasa hivi bado amelala anawaza aibu ya jana
 
Huyu hakuwa anapelekwa kusoma hizo kozi alikuwa anajipeleka mwenyewe
 

HR TIGO MNA KUWA NA MFANYAKAZI POPOMPO KAMA HUYU.....SHAME.....MIC(T) LTD....SHAME SHAME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…