Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

Ningekuwa wakili wa utetezi ningezungumzia sana barua ya utetezi. Shahidi amekana ilipita kwa watu wengine. Ni kama ilikuja kwake na akaishighulikia bila mtu mwingine mpaka ikatoka. Na huku yeye ni legal officer tu!

Kawaida ya makampuni, jambo kama hili nimla uongozi wa juu kabisa, na legal officer angeombwa tu kutoa ushauri wa itajibiwa vipi na taarifa zitakuwa na kikomo gani!! Inashangaza legal officer ndio anakuwa tena na utaalamu wa IT kiasi anaweza kufanya anachoambiwa na outside entity kwa kuwa tu ni ya serikali kufanywa wanachotaka bila hata kujua sababu ni nini.

Ningependa kujua kama uongozi wa Tigo ndio uliotoa maelekezo wa aliyofanya shahidi!! Au jamaa ni mmoja wa wadukuzi ndani ya Tigo.
 
Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza:

Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara:

View attachment 1996270

Ikumbukwe pia Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa shahidi upande wa mashtaka kutokea Tigo kama hivi hivi.

Fred Kapara anataka mahakama imwamini kuwa hakuwahi kumsikia Freeman Aikael Mbowe popote pale duniani!

Shahidi huyu bila shaka wa kimkakati tokea Tigo anadai pamoja na kuwapo watu wengine katika legal department hapo Tigo:

"Yeye ndiye aliyepokea barua yenye ombi la kufuatilia nyendo za namba ya Mheshimiwa Mbowe kutokea polisi."

Kwamba pia yeye ndiye aliyelifanyia kazi ombi hilo. Yeye ndiye aliyewasilisha maelezo polisi na yeye ndiye aliye kinara leo mahakamani katika kumkaanga Mh. Mbowe.

Kwa mtaji huu, Fred Kapara ndiye legal team na legal team ndiye yeye pale Tigo.

Kwamba zilitakiwa taarifa za usajili na za miamala ya pesa kutokea kwenye simu hiyo ya Tigo kwa kipindi cha tokea Jun 1 - Jun 31, 2020.

Kama mchezo wa kuigiza vile:

1.June ina siku 30 lakini walihitaji hata siku ya 31 😁😁.
2. Mbowe alishambuliwa na watu wasiojulikana 8 Jun 2020 na akaendelea kuwa out of action kwa muda mrefu.
3. Fred akapeleka taarifa zote alizoweza kuzipata kuhusu namba hiyo zikiwamo za bonus ambazo hakuwa ameulizwa 😁😁.
4. Hapakuwa na kigezo chochote cha kisheria au kimaadili kilichozingatiwa kwenye utoaji wa taarifa hizo.

Shahidi ambaye kimsingi ni mwana sheria kaonyesha wazi kuwa hana ujuzi wowote na masuala ya kiusalama, kiulinzi wala kiufundi wa mitambo ya mawasiliano.

Pamoja na kupoteza muda mwingi kujaribu kuyaongelea mambo ya kiufundi, shahidi alihitimisha kwa kudai:

1. Ali print kutokea kwenye screen server 😁😁.
2. Shahidi hakuwahi kusikia uwapo DB2 software ambazo leo ni literally obsolete na akafanywa kukubali kuwa ndiyo latest.
3. Shahidi hakuwahi kusikia kuhusu program habari ya mujini ya udukuzi kwenye telecommunications Industry leo ya "Pegasus" wala uwezo wake.
4. Shahidi hajui SQL ni nini. Anafanywa kuamini ni software yenye version.
5. Shahidi hajui kuwa Ernest and Young ninja Auditor.
6. Hajui kuwa hakuna jargon LINU katika IT.
7. Hajui maana ya server wala aina zake.
8. Anasema Tigo wako secure kwa sababu wana Cisco, kuna firewall na switch ya Huawei.
9. Nk nk

Shahidi kaipotezea mahakama muda mwingi kupitia mambo ya kitalaamu asiyokuwa na ujuzi nayo.

Bila shaka ndiyo sababu yakamkuta:

View attachment 1996426

Kwamba Mbowe alituma pesa kwa simu kipindi hicho? Kwani kosa kutuma pesa?

Ikumbukwe pia alicho print anaweza print mtu mwingine yeyote katika format hiyo hiyo bila kuhusianisha na server za Tigo.

Nini thamani ya ushahidi kama huu?
Mbowe atakula miaka kwa ushahidi-usiopingika
 
Ningekuwa wakili wa utetezi ningezungumzia sana barua ya utetezi. Shahidi amekana ilipita kwa watu wengine. Ni kama ilikuja kwake na akaishighulikia bila mtu mwingine mpaka ikatoka. Na huku yeye ni legal officer tu!

Kawaida ya makampuni, jambo kama hili nimla uongozi wa juu kabisa, na legal officer angeombwa tu kutoa ushauri wa itajibiwa vipi na taarifa zitakuwa na kikomo gani!! Inashangaza legal officer ndio anakuwa tena na utaalamu wa IT kiasi anaweza kufanya anachoambiwa na outside entity kwa kuwa tu ni ya serikali kufanywa wanachotaka bila hata kujua sababu ni nini.

Ningependa kujua kama uongozi wa Tigo ndio uliotoa maelekezo wa aliyofanya shahidi!! Au jamaa ni mmoja wa wadukuzi ndani ya Tigo.
Kwa mawakili wenye akili lakini hawa mawakili mipasho- BURE KABISA
 
Pana haja ya kuyachukulia hatua:

1. Kuyashtaki mahakamani huko huko kwa Siyani
2. Kuachana nayo kama tulivyopiga chini miamala ya simu.
3. Au vyote kwa pamoja.
ANZISHENI
CHADEMA -audio
Mbowe-Pesa
Freeman -data
ILA VIDEZO NA MASHARTI VITAZINGATIWA
 
Majibu ya hiyo jamaa yameniaxha hoi kabisa.

Si wewe peke yako mkuu. Kwa mtaji huu:

IMG_20211103_060511_449.jpg

Labda mazuzu peke yao 😁😁.
 
Ndiyo maana Osama hakuwa anatumia simu na hata digital TVs.

Hata hivyo Bwana Fred Kapara ni afisa kipenyo asiye na ujuzi wowote. Mzigo na hasara kubwa kwa Tigo.

Kwa mtaji huu, Tigo wana record na ku share mazungumzo na SMS za watu bila ridhaa zao.

Hii haikubaliki.
Hata mm nilishangaa sana sijui hawa vijana wanasomaje mbona wako empty sana vichwani?Ukimkumkuta mtaani utafikiri wa maana na shule ipo kumbe hamna kitu.
 
Hasira za nn sasa?? Au baada ya kugundua mlichemsha mahali??? Mkiwa waongo jifunzeni kuwa na kumbukumbu. Yule mwingine kasema alikutana na Mh Longido kumbe wakati huo Mh alikuwa gerezani. Hapo mpumbavu/wapumbavu ni nani/kina nani???

Mkuu hawawezi kukosa hasira. Majibu hoja ipi pale?

IMG_20211016_132442_593.jpg

Hiyo ndiyo maana ya kupigwa na vitu vizito.

Viva timu kabambe ya utetezi, Viva!
 
Huyu mtu kaajiriwa kama mwanasheria lakini duties zake ni above and beyond.

Nilitaraji IT ndiyo wahusike na kutoa taarifa kwa kushirikiana na idara ya sheria ili wasitoke kwenye mstari.

Surprisingly Tigo inapeleka wakili wake training za software mbalimbali ambazo naamini hazimsaidii katika career yake ya sheria.
Huyu hakuwa anapelekwa kusoma hizo kozi alikuwa anajipeleka mwenyewe
 
Ndiyo maana Osama hakuwa anatumia simu na hata digital TVs.

Hata hivyo Bwana Fred Kapara ni afisa kipenyo asiye na ujuzi wowote. Mzigo na hasara kubwa kwa Tigo.

Kwa mtaji huu, Tigo wana record na ku share mazungumzo na SMS za watu bila ridhaa zao.

Hii haikubaliki.

HR TIGO MNA KUWA NA MFANYAKAZI POPOMPO KAMA HUYU.....SHAME.....MIC(T) LTD....SHAME SHAME
 
Back
Top Bottom