Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?


Kiafrika au KiBongobongo wanaume wenye ukamili wao huwa wanagawa pesa bila hata kuombwa

Hili la kuriport police litakua gumu sana; sijawahi ona mtu anayetoa rushwa kwa hiari yake, ili ahalalishe haramu yake kwa tamaa zake mwenyewe ghafla tuu aamue kujipeleka kizimbani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endeleeni kuota,Ila lazima mtakipata tu na huyo gaidi wenu

Hapo sasa anayeota si wewe usiyekuwa na hoja yoyote kumhusu shahidi huyu #5 kama alivyodadavuliwa au sisi?

Au ni hizi mambo tu?



Kuhusu kesi ni vyema usisahau msimamo wetu pia:



Kwa mtaji huu tusubiri kipi cha kututisha nini tutakachokipata wapi?
 
Changamoto yetu kama TAIFA inaanzia kwenye mfumo wa elimu na taratibu za akira.Katika kitengo a.k.a Idara watu walikuwa spotted wakiwa madarasa ya chini kabisa na hasa darasa la nne, utatatibu huu ulizingatia mambo mbalimbali ikiwemo nidhamu, uwezo kiakili, maadili binafsi na ya familia ya muhusika nk.Siku hizi tunampelekana tu.Vigezo havizingatiwi sana , intelligence you have to be intelligent.
 

Kitendo cha serikali kudhamiria kutenda uovu, kutesa, kuteka, kudhulumu, kubambika kesi, kupora haki dhidi ya mtu yeyote ni kiashiria cha wazi cha kukubali kuuweka uhalali wake rehani:

Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?
 
Bila shaka hili likitokea litaongeza salio kwenye account yako kama unayo.

Limejawa na chuki binafsi. Utu hamna.

Halafu hayakumbuki yaliwahi kusema nini.

Kweli ujinga mzigo 😁😁.
 

Ninakazia:

"Ni muhimu ikajulikana wazi wazi kama uongozi wa Tigo ndio uliotoa maelekezo wa aliyofanya shahidi!! Au jamaa ni mmoja wa wadukuzi ndani ya Tigo."
 
Hawa ndio wanaotuibia masalio yetu kwenye simu,mtu umejiunga bando umepata gb 1,umewasha tu nusu saa unaambiwa bando lako limeisha,unabaki unashangaa imekuwaje
 
Sometimes you are right mkuu.Nataman Mbowe athibitishwe kuwa hana hatia lakin sio kwa approa h hiz za mihemko huku mitandaoni.
Tunakosa kuwa objective kwenye ku perceive hiz proceedings za mahakam


Mtu anacomment eti Shahidi alikuja kutoa ushahidi Mahakamani bila Top Mgt ya Tigo kufahamu,inaingia akilini kweli hiyo? Halafu wakati tunamlaumu huyu wa Tigo lakini tunaisifu Mahakama kwa Shahidi aliyetoka Vodacom kutoa ushahidi kwa kesi ya Sabaya.Kumbe ni sawa Kampuni ya simu kutoa ushahidi kwa Sabaya ila ni kosa kubwa (hapa JF) kwa Kampuni ya Simu kutoa ushahidi kwa kesi hii.

Watu wajielekeze kwenye ushahidi wenyewe uliyotolewa na siyo aliyekuja kutoa ushahidi.Vinginevyo tutajikuta tunatoa povu kwa kila shahidi anaesimama Mahakamani ambayo hauna msaada kwa Watuhumiwa kuamua matokeo ya kesi yenyewe.
 
Kwani wewe kwa uelewa wako yule shahidi umemchukulia kama lawyer au IT Person?Na kwa uelewa wako unadhan shahidi katoa ushahidi usioacha shaka wa kumtia mtu hatiani?

Mimi siyo Mh.Jaji.Mahakama ndiyo itaamua mwisho wa kesi hii.
 

Si kwa ushahidi ule. Tigo wanapaswa kutokea hadharani na kuvunja ukimya.

Wito wa kuamka kwa makampuni mengine:





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…