Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang itakuambia hayo ya Mbatia ni ukaskazini na ukabila.
johnthebaptist ni mpatanishi kati ya CDM na MATAGA humu JF. Ingawa ni indirectly, lakini anajitahidi sana kubalance mambo. Mungu aendelee kumjalia hii karama ya upatanishi kuponya nchi.Sidhani mkuu. Hii ni kesi ya mapolisi, makarao na wa namna hiyo.
Hata huko CCM mbona nao wana mawazo kama Mbatia tu? Vinara wao wakiwamo kina johnthebaptist wamejitanabaisha hivyo kwa maneno na vitendo.
Au nasema uongo ndugu zangu?
mbatia hana jipya anamtetea mchagga mwenzie mbona masheikh waliwekwa ndani miaka 8 mbatia alikuwa wapi mpuuzi tu huyo
brazaj nilikwambia watakuja na mtazamo wa kikabila na ukanda. This is it.mbatia hana jipya anamtetea mchagga mwenzie mbona masheikh waliwekwa ndani miaka 8 mbatia alikuwa wapi mpuuzi tu huyo
Rais wetu kama laiti angekuwa na hekima, japo ndogo sana, asingeruhusu kesi za kutengenezwa kama hizi ziwepo kwenye utawala wake.Ukiliwazia sana hili jambo linalomhusu Freeman Mbowe unashindwa kuona mwanga wa sababu ya yanayoendelea, inakua kama kuna hisia za chuki binafsi. Seems as if there is an old personal issue between Mbowe and the President. Huyu Mama hakuna aliyemtegemea kuwa Raisi, nahisi kuna waliowahi kumkejeli huko nyuma sasa huwezi jua neno lilimfikia likiwa limekorogewa sumu gani. Maana sisi waswahili na sisi, mhh..... Maana najiuliza kwanini watu wengi namna hii na hata dunia nzima inahoji hili jambo lakini haileti badiliko lolote? There is something wrong somewhere!
Rais wetu kama laiti angekuwa na hekima, japo ndogo sana, asingeruhusu kesi za kutengenezwa kama hizi ziwepo kwenye utawala wake.
mbatia aache unafiki, Kuna mashekhe wa uamsho wengine mpaka leo bado wapo ndani,mbona hakutoka nje aongelee hili, leo huyu mpuuz mmoja kaswekwa ndani kwa kuleta taharuki ametoa pua yake kwenye media,angekuwa mtetez Basi angebalance hapo tungemuelewa, otherwise ni utopolo tu !!
GoodRais wetu kama laiti angekuwa na hekima, japo ndogo sana, asingeruhusu kesi za kutengenezwa kama hizi ziwepo kwenye utawala wake.
Huyu bibi wanamchongea vibaya sn ndiyo maana amepoteza mvuto vibaya sn huwezi amini kama watu walimkubali kupita kiasiMakarao na mapolisi wanayo mawazo kama yako. Haiko peke yako.
Katiba mpya?Nimemkumbuka sana Dr Sengondo Mvungi
Roho yake iendelee kupumzika kwa amani