Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

mbatia aache unafiki, Kuna mashekhe wa uamsho wengine mpaka leo bado wapo ndani,mbona hakutoka nje aongelee hili, leo huyu mpuuz mmoja kaswekwa ndani kwa kuleta taharuki ametoa pua yake kwenye media,angekuwa mtetez Basi angebalance hapo tungemuelewa, otherwise ni utopolo tu !!
Acheni uzwazwa Mbatia laishazungumzia kuhusu Mashekhe zaidibya mara 2
 
Hiyo nayo haina tija🙈🙈🙈

Haha brazaj 👣👣👣👣

Pole hutaki, hongera nayo haina tija.

Hapo sasa si ndipo mabaharia wanaposhindwa kuelewa ... 🙄🙄
 
Utoto unakusumbua nan alieongoza maandamano ya kinondon???
Record inaonesha Mbowe hakuwa n.a. Fujo sanaa enzi za Magufuli. Na hata hizo mambo za katiba hakuzifanya enzi za Magufuli, enzi za Mama akaripuka kana kwamba dharau kama zote akaanza kujidai kama vile Utopolo ndio wanaongoza nchi, Mwanamke huwa hapendi hata kuhisi tu kwamba jinsia inatumika kumdharau.

Ishu ya Mbowe ni matokeo ya dharau za mihadhara kuzurura na kauli Utopolo za kutisha dhidi ya govt ya mama.

Mbowe misbehaved akaanza na speedy resurgence ya ujio mpya wa uchadema,uharakati na upupu wa kumdharau Mama.

Hio haipogo kbsa tena kipindi cha mpito na majonzi.

Zile harakati za kivuvuzela madharau ni tusi la kejeli mithili ya uhaini wa kuhamasisha mapinduzi hasa dhidi ya makatazo kabla ya lifting Au dissolving.
 
Mbaya zaidi hii keshi ya Mbowe imeshusha sana heshma za Mahakama zetu pamoja na Majaji. Majaji mara nyingi wamekuwa kimbilio la haki ila sasa wanaonekana sehemu ya ufedhuli na ubaradhuli. Mungu tuepushe na hiki kikombe.
Kwa msukumo wa muhimili uliojichimbia chini, hukumu zinatoka kwa maelekezo kutoka juu
 
Mjamaa wa wapi huyu mganga njaa tu, toka lina wajamaa wanaiba kura na kununua wapinzani!
 
Back
Top Bottom