Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chazachaza naona hapo unamvisha mtu lawama ambayo hastahili. Mashekhe waliwekwa ndani wakubwa hawa hawa wakiwa madarakani, si ndiyo?mbatia aache unafiki, Kuna mashekhe wa uamsho wengine mpaka leo bado wapo ndani,mbona hakutoka nje aongelee hili, leo huyu mpuuz mmoja kaswekwa ndani kwa kuleta taharuki ametoa pua yake kwenye media,angekuwa mtetez Basi angebalance hapo tungemuelewa, otherwise ni utopolo tu !!
Chazachaza naona hapo unamvisha mtu lawama ambayo hastahili. Mashekhe waliwekwa ndani wakubwa hawa hawa wakiwa madarakani, si ndiyo?
Mungu m-bless mwenyekiti wa chama bwana James Mbatie Amen
kwani wewe unasemaje? Kuhusu faida ya kesi ya Mbowe kwa Mama na kwa Taifambatia hana jipya anamtetea mchagga mwenzie mbona masheikh waliwekwa ndani miaka 8 mbatia alikuwa wapi mpuuzi tu huyo
kwani wewe unasemaje? Kuhusu faida ya kesi ya Mbowe kwa Mama na kwa Taifa
Asiwababaishe anavyoongea kwa hisia. Mbatia ni mpuuzi tu na mkabila. Eti kesi ya mbowe inavunjia heshima taifa na kumvunjia rais heshima? Hakika mbatia inafaa aombe radhi asifikiri yeye ni mtu muhimu sana nchi hii anaweza onyesha dharau kwa rais na uongozi wa nchi.Akiwa hai nilikua nikimkumbuka na kumheshimu sana pia
Hata kati umauti wake leo nimemkumbuka SANA
Asiwababaishe anavyoongea kwa hisia. Mbatia ni mpuuzi tu na mkabila. Eti kesi ya mbowe inavunjia heshima taifa na kumvunjia rais heshima? Hakika mbatia inafaa aombe radhi asifikiri yeye ni mtu muhimu sana nchi hii anaweza onyesha dharau kwa rais na uongozi wa nchi.
Ikiwa marekani waliwakamata waarabu pote dunia na kuwapeleka kwenye kisiwa wanakimiliki kule cuba kujibu mashtaka ya ugaidi ndio iwe ajabu kwa mbowe kutakiwa ajibu shutuma za ugaidi?
Kesi inaendelea na mahakama inafanya kazi yake. Mbatia aache upuuzi kama anataka aende kuhubiri kanisani maana inaonekana angefaa uchungaji kuliko kua mwanasiasa.
Ndugu MpendaTz , ni kweli watu wengi na dunia karibu yote imeshaona kuwa hapo hakuna kesi bali ni watawala wachache kuitumia mahakama kukomoa wapinzani wao kisiasa....Ukiliwazia sana hili jambo linalomhusu Freeman Mbowe unashindwa kuona mwanga wa sababu ya yanayoendelea, inakua kama kuna hisia za chuki binafsi. Seems as if there is an old personal issue between Mbowe and the President. Huyu Mama hakuna aliyemtegemea kuwa Raisi, nahisi kuna waliowahi kumkejeli huko nyuma sasa huwezi jua neno lilimfikia likiwa limekorogewa sumu gani. Maana sisi waswahili na sisi, mhh..... Maana najiuliza kwanini watu wengi namna hii na hata dunia nzima inahoji hili jambo lakini haileti badiliko lolote? There is something wrong somewhere!
Asiwababaishe anavyoongea kwa hisia. Mbatia ni mpuuzi tu na mkabila. Eti kesi ya mbowe inavunjia heshima taifa na kumvunjia rais heshima? Hakika mbatia inafaa aombe radhi asifikiri yeye ni mtu muhimu sana nchi hii anaweza onyesha dharau kwa rais na uongozi wa nchi.
Ikiwa marekani waliwakamata waarabu pote dunia na kuwapeleka kwenye kisiwa wanakimiliki kule cuba kujibu mashtaka ya ugaidi ndio iwe ajabu kwa mbowe kutakiwa ajibu shutuma za ugaidi?
Kesi inaendelea na mahakama inafanya kazi yake. Mbatia aache upuuzi kama anataka aende kuhubiri kanisani maana inaonekana angefaa uchungaji kuliko kua mwanasiasa.
nimemwona jaji mkuu ananyoshea kidole mawakili badala ya kukemea yanayoendelea mahakamani bila aibuMbaya zaidi hii keshi ya Mbowe imeshusha sana heshma za Mahakama zetu pamoja na Majaji. Majaji mara nyingi wamekuwa kimbilio la haki ila sasa wanaonekana sehemu ya ufedhuli na ubaradhuli. Mungu tuepushe na hiki kikombe.
Wakina Siro na Mchengerwa wanamlisha Samia matangopori naye kayafakamia mbayaUkiliwazia sana hili jambo linalomhusu Freeman Mbowe unashindwa kuona mwanga wa sababu ya yanayoendelea, inakua kama kuna hisia za chuki binafsi. Seems as if there is an old personal issue between Mbowe and the President. Huyu Mama hakuna aliyemtegemea kuwa Raisi, nahisi kuna waliowahi kumkejeli huko nyuma sasa huwezi jua neno lilimfikia likiwa limekorogewa sumu gani. Maana sisi waswahili na sisi, mhh..... Maana najiuliza kwanini watu wengi namna hii na hata dunia nzima inahoji hili jambo lakini haileti badiliko lolote? There is something wrong somewhere!
Hiyo heshma tuanze na yeye mwenyewe. Ipo?
Makarao ni watu gan mkuuSidhani mkuu. Hii ni kesi ya mapolisi, makarao na wa namna hiyo.
Hata huko CCM mbona nao wana mawazo kama Mbatia tu? Vinara wao wakiwamo kina johnthebaptist wamejitanabaisha hivyo kwa maneno na vitendo.
Wanasisitiza - Maendeleo hayana Chama!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Makarao ni watu gan mkuu
Kwa kweli hili na mengine mengi vinamchafua Mh Rais
johnthebaptist ni mpatanishi kati ya CDM na MATAGA humu JF. Ingawa ni indirectly, lakini anajitahidi sana kubalance mambo. Mungu aendelee kumjalia hii karama ya upatanishi kuponya nchi.
Kumbuka ndani ya siku 100 za kwanza Samia:-Ukiliwazia sana hili jambo linalomhusu Freeman Mbowe unashindwa kuona mwanga wa sababu ya yanayoendelea, inakua kama kuna hisia za chuki binafsi. Seems as if there is an old personal issue between Mbowe and the President. Huyu Mama hakuna aliyemtegemea kuwa Raisi, nahisi kuna waliowahi kumkejeli huko nyuma sasa huwezi jua neno lilimfikia likiwa limekorogewa sumu gani. Maana sisi waswahili na sisi, mhh..... Maana najiuliza kwanini watu wengi namna hii na hata dunia nzima inahoji hili jambo lakini haileti badiliko lolote? There is something wrong somewhere!
Kumbuka ndani ya siku 100 za kwanza Samia:-
1. Alimfungulia Akaunti zake zote
2. Kesi ya Mdude Chadema ya kubambikizwa ikaisha in favour ya Mdude Mahakama ya Mbeya
3. Kesi ya rufaa ya mauaji ya Akwilina ambayo Mahakama ya Kisutu wali wa convict akina Mbowe ilipinduliwa kwa akina Mbowe kushinda kurudushiwa Hela zao
4. Yule baradhuli wa Hai, Ole Sabaya aliyemsumbua sana Mbowe na wafanya biashara alifunguliwa mashtaka.
Nimekutajia hayo manner tu ili ujiulize kama akili ya Mbowe ilikuwa sawasawa au alivuta BANGI kwa kuanza KUMDHARAU Rais kwenye mitandao, mikutanoni na kwa kupitia Mdude Chadema aliyesema; "na huyo Mama yenu nitamnyoa kwa wembe uleule uliomnyoa mtangulizi wake"
Kaeni kimya tuonyeshane makali