Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

Chazachaza naona hapo unamvisha mtu lawama ambayo hastahili. Mashekhe waliwekwa ndani wakubwa hawa hawa wakiwa madarakani, si ndiyo?
 
Chazachaza naona hapo unamvisha mtu lawama ambayo hastahili. Mashekhe waliwekwa ndani wakubwa hawa hawa wakiwa madarakani, si ndiyo?

Karaoke akitokea tupeane mrejesho 😁😁
 
mbatia hana jipya anamtetea mchagga mwenzie mbona masheikh waliwekwa ndani miaka 8 mbatia alikuwa wapi mpuuzi tu huyo
kwani wewe unasemaje? Kuhusu faida ya kesi ya Mbowe kwa Mama na kwa Taifa
 
Akiwa hai nilikua nikimkumbuka na kumheshimu sana pia

Hata kati umauti wake leo nimemkumbuka SANA
Asiwababaishe anavyoongea kwa hisia. Mbatia ni mpuuzi tu na mkabila. Eti kesi ya mbowe inavunjia heshima taifa na kumvunjia rais heshima? Hakika mbatia inafaa aombe radhi asifikiri yeye ni mtu muhimu sana nchi hii anaweza onyesha dharau kwa rais na uongozi wa nchi.
Ikiwa marekani waliwakamata waarabu pote dunia na kuwapeleka kwenye kisiwa wanakimiliki kule cuba kujibu mashtaka ya ugaidi ndio iwe ajabu kwa mbowe kutakiwa ajibu shutuma za ugaidi?
Kesi inaendelea na mahakama inafanya kazi yake.
Mbatia aache upuuzi kama anataka aende kuhubiri kanisani maana inaonekana angefaa uchungaji kuliko kua mwanasiasa.
 

Jorojik kuna mwingine huku 😁😁
 
Ndugu MpendaTz , ni kweli watu wengi na dunia karibu yote imeshaona kuwa hapo hakuna kesi bali ni watawala wachache kuitumia mahakama kukomoa wapinzani wao kisiasa....

Na kwa hiyo, na kwa lugha rahisi ni kusema kuwa, huu ni mchezo wa siasa tu uliopewa sura ya "UJINAI" na jinai anageuziwa mtu mwingine aonekanaye kikwazo kwa mambo ya watawala....

LAKINI WAFANYEJE SASA? Maana hata Rais Samia Suluhu mwenyewe bila shaka ameshaelewa kuwa, ni KWELI AMEDANGANYWA kwenye hili naye bila kujua akaingia mkenge...?

Mimi nina hakika ANALO LA KUFANYA lakini lililo na gharama za kulipa KISIASA. Na hapo ndipo ugumu ulipo. Kwamba aumeze UONGO wake au ASHUPAZE shingo ivunjike..?

UONGO WAKE kwa sababu alishautangazia ulimwengu kuwa Freeman Mbowe ni gaidi na mhalifu na wenzake anaoshirikiana nao tayari walishahukumiwa kifungo cha jela huku ukweli ukiwa kinyume chake...!!

Aidha, kesi iko mahakamani lakini cha ajabu Rais Samia Suluhu na wenzake huko serikalini na CCM completely wameshashindwa kujenga msingi wa UGAIDI na UHALIFU wa Freeman Mbowe na hakuna hata mmoja aliyekwisha hukumiwa jela kama Rais Samia na Polisi wake wanavyodai....!!
 

Hiyo heshma tuanze na yeye mwenyewe. Ipo?
 
Mbaya zaidi hii keshi ya Mbowe imeshusha sana heshma za Mahakama zetu pamoja na Majaji. Majaji mara nyingi wamekuwa kimbilio la haki ila sasa wanaonekana sehemu ya ufedhuli na ubaradhuli. Mungu tuepushe na hiki kikombe.
nimemwona jaji mkuu ananyoshea kidole mawakili badala ya kukemea yanayoendelea mahakamani bila aibu
 
Wakina Siro na Mchengerwa wanamlisha Samia matangopori naye kayafakamia mbaya

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hiyo heshma tuanze na yeye mwenyewe. Ipo?

1. Mh. Mbatia ni mwenyekiti wa chama cha siasa chenye usajili wa kudumu.
2. Mh. Mbatia amewahi kuwa mbunge wa kuchaguliwa kwa haki kabisa jimboni kwake.
3. Mh. Mbatia amewahi kuwa mbunge wa kuteuliwa na rais.
4. Mh. Mbatia ni mtanzania alikuwa swahiba wa mwendazake
5. Mh. Mbatia ana mawazo huru kuhusiana na kesi hii kama waungwana wengine walivyo.
6. Mh. Mbatia ana akili timamu.
7. Mh. Mbatia ni msomi mhitimu wa vyuo vikuu ndani na nje ya nchi.
8. Mh. Mbatia ni mume na baba wa watu.
9. Mh. Mbatia ana kula kwake.
10. Nk, nk.

Heshima gani zaidi wengine mnazo kumzidi Mh. Mbatia?
 
Makarao ni watu gan mkuu
 
Kumbuka ndani ya siku 100 za kwanza Samia:-
1. Alimfungulia Akaunti zake zote
2. Kesi ya Mdude Chadema ya kubambikizwa ikaisha in favour ya Mdude Mahakama ya Mbeya
3. Kesi ya rufaa ya mauaji ya Akwilina ambayo Mahakama ya Kisutu wali wa convict akina Mbowe ilipinduliwa kwa akina Mbowe kushinda kurudushiwa Hela zao
4. Yule baradhuli wa Hai, Ole Sabaya aliyemsumbua sana Mbowe na wafanya biashara alifunguliwa mashtaka.

Nimekutajia hayo manner tu ili ujiulize kama akili ya Mbowe ilikuwa sawasawa au alivuta BANGI kwa kuanza KUMDHARAU Rais kwenye mitandao, mikutanoni na kwa kupitia Mdude Chadema aliyesema; "na huyo Mama yenu nitamnyoa kwa wembe uleule uliomnyoa mtangulizi wake"

Kaeni kimya tuonyeshane makali
 

Kwani wewe hukumsikia Mama mwenyewe akisema hii kesi ni ya mwaka jana na wenzake Mbowe tayari walishafungwa?

Kwa mujibu wa mama mwenyewe hii kesi haina cha kufanya na mama na Mbowe, labda kama una maanisha mama ni mwongo kweri kweri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…