Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

Sio kila kesi ni za mchongo.Ya Mbowe sababu ushahidi umeonekana angalau kiasi.Hizo nyingine hazijasikika hata kuanza.Utalinganishaje?Hii ni mbinu inayotumiwa ili kupandikiza mbegu za kidini na kikabila ili focus ya kudai haki ipotezwe
 
Yawezekana zao za michongo wanazijua.

Ukweli mchungu, kwa hali ilivyo na bila katiba ya haki: polisi, magereza na mahakamani - ni mwendo wa ukiukwaji wa haki za binadamu tu.
 
Alivyokua anamnanga jpm kwenye clip alizokua anatayarisha na yule mchaga mwenzake mwenezi wake alishakua na uhakika kama samia na magufuli sio kitu kimoja au la? πŸ€” Maana ingekua mimi ndio samia kwa uongo na uzushi ule ningekushughulikia tu. πŸ™„
 
Una maana ni mambo ya chuki binafsi kazini?
 
Hapa ndipo tunapotea njia, hivi watu hugombea uongozi ili kupata nafasi ya kuonyeshana makali? Ni lini tutakuwa na ustaarabu wa kukaa pamoja kupanga mipango ya maendeleo kwa Taifa letu?
 
Jitahidi kujiweka huru kifikra bila kutaja mtanzania mwenzako kwa kabila lake au dini yake. Utavuna amani itakayo kuepusha na ajali za kifikra ili akili isikwame kwenye hilo tope, weka 4WD kichwani.
 
Mtu anaweza kuwa na vyote hivyo na bado akakosa heshima
πŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£
 
Huyo mwanamama anatafuta pa kutokea baada ya kulikoroga. Vuta subira kidogo utaona sarakasi zitakazofuata.

Hii haiondoi ukweli kwamba hana siha ya uongozi.
 
Rais wetu kama laiti angekuwa na hekima, japo ndogo sana, asingeruhusu kesi za kutengenezwa kama hizi ziwepo kwenye utawala wake.
Unachosahau ni kwamba hizo kesi anazo matarajio ya kujinufaisha nazo. CHADEMA nitishio sana kwake na chama chake.

Kwa hiyo ikiwezekana kuondoa tishio hilo kupitia hizo kesi ndiyo nafuu kwake.
 
Mbona alishawatetea sana.. Hukusikia?
 
Taharuki ipi wewe uliyezaliwa bila uelewa ?! . Kutaka katiba ya wote ni taharuki !!. Nani atashangaa Tz kuwa masikini kama aina yako ndiyo raia waliopo !!
 
Mtu anaweza kuwa na vyote hivyo na bado akakosa heshima
πŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£

Au tufanye wewe una heshima zaidi kuliko huyu 😁😁.

Hapo tuko vizuri sasa?
 
Au tufanye wewe una heshima zaidi kuliko huyu 😁😁.

Hapo tuko vizuri sasa?

Hayo ni maoni yako

Hujafungwa kufanya au kuwaza chochote unachokipenda lakini hakuna unayewaza kumlazimisha kukubali unachopenda au kuwaza

Kwani ubongo wango si umeubeba mwenyewe kichwani kwako!?
 
Hoja ya Mbatia inawakera sana wapambanaji nuksi.

Au nasema uongo mama D

Akiwa mpambanaji kwako haitoshi!?

Kila mtu ana mtazamo wake kwa vitu kutokana na uelewa wake

Akikupambania wewe inatoshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hayo ni maoni yako

Hujafungwa kufanya au kuwaza chochote unachokipenda lakini hakuna unayewaza kumlazimisha kukubali unachopenda au kuwaza

Kwani ubongo wango si umeubeba mwenyewe kichwani kwako!?

Kwa hakika hakuna unapolazimishwa lolote zaidi ya kukuitisha kama vipi:

"Kujikita kwenye hoja za watu badala ya kuanza kutafuta heshima zao kwa tochi."

Hoja ya Mbatia ni kuwa kesi ya Mbowe ni jumba bovu.

Au nasema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…