Acheni uzwazwa Mbatia laishazungumzia kuhusu Mashekhe zaidibya mara 2mbatia aache unafiki, Kuna mashekhe wa uamsho wengine mpaka leo bado wapo ndani,mbona hakutoka nje aongelee hili, leo huyu mpuuz mmoja kaswekwa ndani kwa kuleta taharuki ametoa pua yake kwenye media,angekuwa mtetez Basi angebalance hapo tungemuelewa, otherwise ni utopolo tu !!
Hiyo nayo haina tijaπππ
Haha brazaj π£π£π£π£
Record inaonesha Mbowe hakuwa n.a. Fujo sanaa enzi za Magufuli. Na hata hizo mambo za katiba hakuzifanya enzi za Magufuli, enzi za Mama akaripuka kana kwamba dharau kama zote akaanza kujidai kama vile Utopolo ndio wanaongoza nchi, Mwanamke huwa hapendi hata kuhisi tu kwamba jinsia inatumika kumdharau.
Ishu ya Mbowe ni matokeo ya dharau za mihadhara kuzurura na kauli Utopolo za kutisha dhidi ya govt ya mama.
Mbowe misbehaved akaanza na speedy resurgence ya ujio mpya wa uchadema,uharakati na upupu wa kumdharau Mama.
Hio haipogo kbsa tena kipindi cha mpito na majonzi.
Zile harakati za kivuvuzela madharau ni tusi la kejeli mithili ya uhaini wa kuhamasisha mapinduzi hasa dhidi ya makatazo kabla ya lifting Au dissolving.
That was Magufuli era, time will tell Mida ya Utopolo bado haijafika wait during summer next year. Napokea maoni yakoUtoto unakusumbua nan alieongoza maandamano ya kinondon???
Kwa msukumo wa muhimili uliojichimbia chini, hukumu zinatoka kwa maelekezo kutoka juuMbaya zaidi hii keshi ya Mbowe imeshusha sana heshma za Mahakama zetu pamoja na Majaji. Majaji mara nyingi wamekuwa kimbilio la haki ila sasa wanaonekana sehemu ya ufedhuli na ubaradhuli. Mungu tuepushe na hiki kikombe.