Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakili wa CHADEMA, Rugemeleza Nshala, amesema; "Kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA kuamuliwa Mei 28, 2026 tulikuwa tunaomba irudishwe mahakama... kutoka mahakama ya rufani irudishwe mahakama kuu, inatolewa uamuzi wake tarehe 28 ya mwezi huu wa tano, inatolewa maamuzi yake siku hiyo tarehe 28, basi tutategemea kwamba kesi hii itaendelea, tutategemea nini kitakachoamuliwa tarehe 28 ya mwezi huu wa tano, 2026."
"Kwa hiyo mambo bado yapo, lakini tunasema tutavuka mtu tusikie, kwa hiyo tarehe 28 tuangalie maamuzi ya mahakama yanasemaje. Kama mahakama inasema bado ina mamlaka ya kusikiliza kesi hii, basi tutaendelea tarehe hiyo... tutapata maelekezo mazuri, kesi ya mwenyekiti itakuwa na msingi wa kuweza kuendelea tarehe mbili ya huo mwezi wa sita. La, kama kesi ya msingi haina nguvu, basi hata ile kesi ya mwenyekiti nayo itaporomoka kwa namna hiyo, lakini naomba yote yasubiri tarehe hizo na ndio tutaweza kujua nini ambacho kitatolewa na mahakama."