Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA kutolewa maamuzi na Mahakama Mei 28, 2026

Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA kutolewa maamuzi na Mahakama Mei 28, 2026

Mpaka sasa anatuhumiwa, hajahukumiwa. Sheria za jamhuri hazipaswi kufanya kazi kwa matamanio ya kisiasa ya kina Tlaatlaah otherwise TAL asingekuwa na sababu ya kujibu hoja kisheria.
kwani alivyokua anakiuka hizo sheria alikua anatamani nini?

au alidhani sheria ziko likizo?šŸ’
 
Atachomokea mahakamani kwa hoja za kisheria, na wala haitakuwa na uhusiano na imani yako kwa Mungu.
Usipoteze kumjibu huyo kibaraka wa CCM. Ni busara kuignore ppost zake
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
kwani alivyokua anakiuka hizo sheria alikua anatamani nini?

au alidhani sheria ziko likizo?šŸ’
Anayesema amekiuka sheria ni wewe sababu ya matamanio yako ya kisiasa kuona akinyongwa, kesi ipo mahakamani, mahakama ndo itasema iwapo sheria zilikiukwa sio wewe Tlaatlaah.
 
Usipoteze kumjibu huyo kibaraka wa CCM. Ni busara kuignore ppost zake
Mkuu, kuna jamii humu nchini hawana source za matukio, na hawana upeo wa kujiliuliza maswali kuhusu matukio kama wewe ila wanaingia humu kusoma na kuokota vihabari, wanaweza aminishwa tofauti iwapo hoja za watu wa aina Tlaatlaa hazijibiwi. Usisuse nyama katikati ya pori lenye fisi sababu kuna inzi ametua hapo.

Binafsi ntamjibu sio kwa sababu ya itakadi yake ila sababu anachosema si sahihi.
 
Anayesema amekiuka sheria ni wewe sababu ya matamanio yako ya kisiasa kuona akinyongwa, kesi ipo mahakamani, mahakama ndo itasema iwapo sheria zilikiukwa sio wewe Tlaatlaah.
yupo korokoroni anasota kwasababu ya ukiukaji wa sheria za nchi,

na atapata haki yake ya hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa mujibu wa sheria za nchi. Full stop šŸ’
 
yupo korokoroni anasota kwasababu ya ukiukaji wa sheria za nchi,

na atapata haki yake ya hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa mujibu wa sheria za nchi. Full stop šŸ’
Time will tell
 
Back
Top Bottom