kwani alivyokua anakiuka hizo sheria alikua anatamani nini?Mpaka sasa anatuhumiwa, hajahukumiwa. Sheria za jamhuri hazipaswi kufanya kazi kwa matamanio ya kisiasa ya kina Tlaatlaah otherwise TAL asingekuwa na sababu ya kujibu hoja kisheria.
Usipoteze kumjibu huyo kibaraka wa CCM. Ni busara kuignore ppost zakeAtachomokea mahakamani kwa hoja za kisheria, na wala haitakuwa na uhusiano na imani yako kwa Mungu.
Anayesema amekiuka sheria ni wewe sababu ya matamanio yako ya kisiasa kuona akinyongwa, kesi ipo mahakamani, mahakama ndo itasema iwapo sheria zilikiukwa sio wewe Tlaatlaah.kwani alivyokua anakiuka hizo sheria alikua anatamani nini?
au alidhani sheria ziko likizo?π
Mkuu, kuna jamii humu nchini hawana source za matukio, na hawana upeo wa kujiliuliza maswali kuhusu matukio kama wewe ila wanaingia humu kusoma na kuokota vihabari, wanaweza aminishwa tofauti iwapo hoja za watu wa aina Tlaatlaa hazijibiwi. Usisuse nyama katikati ya pori lenye fisi sababu kuna inzi ametua hapo.Usipoteze kumjibu huyo kibaraka wa CCM. Ni busara kuignore ppost zake
yupo korokoroni anasota kwasababu ya ukiukaji wa sheria za nchi,Anayesema amekiuka sheria ni wewe sababu ya matamanio yako ya kisiasa kuona akinyongwa, kesi ipo mahakamani, mahakama ndo itasema iwapo sheria zilikiukwa sio wewe Tlaatlaah.
Time will tellyupo korokoroni anasota kwasababu ya ukiukaji wa sheria za nchi,
na atapata haki yake ya hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa mujibu wa sheria za nchi. Full stop π