Kesi ya Michael Clifford dhidi ya Tigo ni mkakati, kuna jambo zito ndani yake

Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike.
Kwa hiyo ndugu Low thinker....Mabeberu ndio walimpiga Tundu Lissu Risasi na wakazuia na Uchunguzi Usifanyike?
 
Kama hoja yako ina mashiko kuwa waliotaka kumuua Lissu ni wahuni tu waliotaka kuichafua serikali na hadi leo Serikali haijafanya juhudi yoyote na kuwakamata nakuwafikisha mahakamani ili kujisafisha basi tuna serikali ya ovyo na dhaifu kabisa kiasi cha kuchezewa sharubu na wahuni huku yenyewe ikichekelea.
Hakika kabisa nakubaliana na wewe mkuu.
 
..., kufunguliwa kwa kesi ya madai nchini Uingereza inayomhusu raia wa nchi hiyo Michael Clifford, dhidi ya kampuni ya simu za viganjani ya Tigo, ikiwa ni miaka saba tangu alipofukuzwa kazi na kampuni hiyo, ni ishara tosha kwamba, mataifa ya Magharibi yameandaa mkakati mchafu kuhakikisha vurugu zinatokea Tanzania.
Kwani Tigo ni ya Tanzania? Kama huyo Clifford anaona amedhulumiwa haki yake, unashauri ni sehmu gani sahihi alipopaswa kwenda kuidai?
 
Mjinga huyu,hata kama walimdukua na kubaini amefanya uhalifu adhabu yake Lissu ndo risasi kweli!?,code zmeanza kufunguka kwanini Makonda amewekewa vikwazo na Marekani,hawa jamaa wanatujua nje ndani
Kimsingi, nchi ya Marekani na washirika wake wanatufahamu kwa undani zaidi kuliko hata sisi wenyewe tunavyojifahamu. Wenzetu Serikali zao wamewekeza Sana kwenye Intelligence Investigation and Information gathering, wakati sisi Serikali zetu zimejikita kwenye kufanya siasa uchwala na kuwafuatilia Wakosoaji wa Serikali na kisha kuwafanyia ushetani.
 
Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike.

Habari za uchunguzi zinasema, kufunguliwa kwa kesi ya madai nchini Uingereza inayomhusu raia wa nchi hiyo Michael Clifford, dhidi ya kampuni ya simu za viganjani ya Tigo, ikiwa ni miaka saba tangu alipofukuzwa kazi na kampuni hiyo, ni ishara tosha kwamba, mataifa ya Magharibi yameandaa mkakati mchafu kuhakikisha vurugu zinatokea Tanzania.

Wachunguzi wa masuala ya usalama wanahoji ni kwa vipi kwa miaka yote saba Clifford hakuwahi kufungua mashtaka halafu aje afungue siku moja tu baada ya Jeshi la Polisi kuyazima maandamano yaliyoandaliwa na Chadema.

Gazeti la The Guardian la Uingereza liliripoti Jumanne, Septemba 24, 2024 kwamba, Clifford anadai kuwa kampuni ya Tigo ilitoa taarifa za simu ya Tundu Lissu kwa Serikali siku kadhaa (miezi michache) kabla ya kupigwa risasi jijini Dodoma Septemba 2017.

Clifford anadai kuwa baada ya kuhoji mwenendo wa Tigo, ndipo akafukuzwa kazi na Kampuni ya Tigo, hivyo amefungua kesi nchini Uingereza akidai kuwa yeye alitendewa ndivyo sivyo na Kampuni ya Tigo.

Wachambuzi wa masuala ya siasa wameeleza kwamba, huo ni mkakati uliosukwa na mabeberu kufungua kesi hiyo Uingereza badala ya Tanzania ambako ndiko tukio lilikotokea, lakini ikiwa ni wiki mbili tu tangu Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Marekani na Canada wanaoziwakilisha nchi zao, kutoa tamko la kulaani vitendo vya utekaji nyara na mauaji vinavyotokea nchini.
Inaelezwa kwamba, kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kukemea hatua ya Mabalozi hao kuingilia masuala ya ndani ya nchi, huku Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle, akisisitiza kwamba ataendelea kusema kwa uwazi, kikiunganishwa na maandamano yaliyofeli kinazaa uhakika wa uwepo wa njama hizo chafu.

Mnamo Septemba 10, 2024, Mabalozi nchi 16 walitoa tamko la kuonesha kuèsikitishwa na matukio ya ukatili, kupotea kwa watu na vifo vya wanaharakati wa kisiasa na haki za kibinadamu nchini Tanzania.
Balozi zilizotoa tamko hilo la pamoja ni Ubelgiji, Uingereza, Canada, Denmark, Ufaransa, Finland, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Poland, Hispania, Sweeden na Uswisi. - “Tunatoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi wa kina kuhusu matukio haya. Tunatoa pole kwa familia zote zilizoathiriwa,” ikaeleza taarifa hiyo.
“Tunaihimiza serikali ya Tanzania kuhakikisha ulinzi wa upinzani, kama alivyoahidi Rais DKt. Samia Suluhu Hassan kupitia mpango wake wa ‘4R’, na kwa mamlaka kuchukua jukumu la kulinda haki za msingi za wananchi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa kujielekeza.”

Na Septemba 20, 2024, Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle, akasisitiza kwamba hataacha kuzungumzia masuala ya demokrasia na haki za binadamu kinyume na alivyoagiza Rais Samia.
Septemba 17, 2024, Rais Samia alijibu matamko ya balozi zinazowakilisha mataifa mbalimbali nchini, yaliyotaka uchunguzi wa haraka wa matukio ya utekaji na mauaji ya watu, akisema Tanzania ni nchi huru haipaswi kuelekezwa cha kufanya kwenye mambo yake. Katika majibu yake hayo, aliwashutumu mabalozi hao akisema walichokitamka haamini kama ni maelekezo ya wakuu wa nchi zao, huku akiahidi kuwachongea kwa marais wa mataifa husika kwa kuiingilia Tanzania.
“Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya ndani ya nchi yetu, tuna Katiba, sheria, miongozo, mila na desturi zetu zinazotuongoza nini cha kufanya kwenye nchi zetu,” amesema.

Rais Samia amesema aliapa kuilinda na kuitetea nchi na kwamba atafanya kila linalowezekana kuimarisha ulinzi wa maisha na uhai wa Watanzania kwa kuwa ni jukumu lake na kwamba hahitaji kuelekezwa na mtu yeyote cha kufanya kwa sababu Katiba ya Tanzania ina maelekezo ya jinsi ya kuendesha Serikali. - “Wengine wanapotaka kuonyesha huruma yao basi tunawasihi wafanye hivyo kwa kufuata makubaliano ya mahusiano kidiplomasia ya kimataifa kama ilivyoelezwa kwenye Vienna Convention on Diplomatic Relation la 1961.
“Lile tamko lililotoka na kuambiwa tufanye moja mbili tatu, sisi tunajua cha kufanya kama Tanzania kama nchi yetu. Na ni imani yangu kwamba tamko lile lililotolewa si maelekezo ya wakuu wa nchi huko walikotoka,” akasema.
Tukio la Clifford kufukuzwa kazi lilitokea mwaka 2017, tukio la Lissu kupigwa risasi lilitokea mwaka huo huo 2017 na lilivuta hisia za jumuiya za kimataifa, kwa nini kama kulikuwa na kitu kama hicho hakuweza kujitokeza walau kusema ukweli, achilia mbali kufungua kesi ya madai kupinga kufukuzwa kwake.

Cosmas Msengezi anasema, kuingilia mawasiliano ya watu na mtu kupigwa risasi ni vitu viwili tofauti, kwani yawezekana (kama ni kweli) Serikali ilitaka kujua mienendo ya Lissu tu hasa kutokana na kuwepo kwa madai ya kuvujisha siri za nchi kwenda kwa mataifa ya nje, kipindi ambacho Serikali ilikuwa imezuia makinikia kusafirishwa nje ili kudhibiti wizi uliodaiwa kufanywa na wachimbaji wakubwa wa madini.

Amesema, Mataifa ya Magharibi ndiyo yanayoongoza kudukua taarifa za mataifa mengine, zikiwemo za watu binafsi, kama ilivyotokea kwa aliyekuwa mgombea wa Democrat, Hilary Clinton, ambaye kudukuliwa kwa taarifa zake kulichangia kuukosa urais Marekani.
“Suala la kupigwa risasi linahitaji ushahidi usio shaka, huenda hata waliomshambulia Lissu ni watu wengine kabisa, au tukahisi walitoka ndani ya Chadema, kwa sababu hata tukio la mauaji ya Chacha Wangwe lilikuwa na mashaka pia.

“Ieleweke pia kwamba, mauaji yanatokea kila sehemu duniani, mfano Mei 4, 2022 Mtanzania Rogers Kyaruzi (30) aliyehamia Marekani akiwa mdogo, aliuawa kwa kupigwa risasi na Polisi huko Atlanta, Georgia, katika tukio la bahati mbaya wakati akikaidi amri ya polisi,” akafafanua Msengezi.
Msengezi anaongeza kwamba, raia wengi wa Tanzania wameuawa kiajabu ajabu nje ya nchi, hususan Marekani na Uingereza, lakini hata siku moja mataifa hayo hayajawahi kuhusisha uchunguzi huru kutoka nje.

Aidha, wachambuzi wengine wa masuala ya usalama wanasema, kufuatilia taarifa za watu wanaohisiwa kuvujisha siri za serikali nje ya nchi kinyume cha sheria ni mambo yanayofanywa na karibu serikali zote ulimwenguni, huku wakitoa mfano wa Edward Snowden, ambaye mwaka 2013 alivujisha siri za kiusalama za Marekani na kukimbilia Urusi.

Kinachotokea...

Kinachotokea sasa kinaonekana kama ni mkakati wa siri wa kushinikiza machafuko ambapo wanasiasa na wanaharakati wa kisiasa wanaonekana kupewa maelekezo maalum na ndiyo maana wamekuwa wakikaidi na kuvunja sheria.

Baada ya kushindwa kwa maandamano, na kuibuka kwa suala la Lissu, inaelezwa kwamba, mabeberu sasa wanataka kuchochea ili wananchi wahamishe hisia zao kwenye mambo yanayowahusu, ikiwemo uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Taarifa za uchunguzi zinaeleza kwamba, wakati uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, badala ya kuwaandaa wanachama wao watakaoviwakilisha, vyama vya upinzani nchini vinaendelea kuibuka na agenda za kuitingisha serikali.

Mbinu hiyo, kwa mujibu wa taarifa za uchunguzi, inalenga kuichokonoa serikali ili ichukue hatua ya kuwakamata wanasiasa wa upinzani na kuwafungulia mashtaka kama ilivyotokea, au hata kutaka polisi itumie nguvu kuwapiga watu nao wapate cha kukisemea kwa mabeberu wanaowapa maelekezo.

Kama itatokea hivyo, kulingana na taarifa hizo, wapinzani wamepanga kususia tena uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama ilivyokuwa mwaka 2019, ambapo kisingizio chao kilikuwa kupinga kukandamizwa na kupinga viongozi wao kushtakiwa.

“Haya ndiyo yanayopangwa kwa sasa, hata Jumatatu mabeberu na vibaraka wao walitegemea kuona watu wakipigwa virungu, lakini haikuwa hivyo, ndipo sasa mabeberu wameamua kuibua hoja ya Lissu, wakiamini kwamba ‘kukwangua kovu kwa nguvu kunaweza kuzaa kidonda’ na hoja hiyo itapata wafuasi,” anasema Ikram Mohammed Ulotu.
Unawaita wazungu mabeberu lakini wakiwapa misaada mnapokea na mnatumia pesa hizo hizo kujaza matumbo yenu kama wewe hapo unapojamba hovyo kwa misaada yao na pesa nyingine mnatumia gharama za kuteka watu wasio na hatia. Mkishavimbiwa misaada ya mnaowaita mabeberu mnatoka hadharani na kusema "tunamshukuru mama"
 
... lakini ikiwa ni wiki mbili tu tangu Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Marekani na Canada wanaoziwakilisha nchi zao, kutoa tamko la kulaani vitendo vya utekaji nyara na mauaji vinavyotokea nchini.
Inaelezwa kwamba, kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kukemea hatua ya Mabalozi hao kuingilia masuala ya ndani ya nchi, huku Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle, akisisitiza kwamba ataendelea kusema kwa uwazi, kikiunganishwa na maandamano yaliyofeli kinazaa uhakika wa uwepo wa njama hizo chafu.
Waliokemea utekaji na mauaji walikemewa kwa kuingilia masuala ya ndani. Hapo unataka kusema nini?
 
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
Kikubwa ngoja waliompiga risasi Tundu Lissu wakamatwe inaonekana huyo jamaa aliyewahi kuwa mfanyakazi wa Tigo ana ushaihi wa kutosha
 
Hakuna cha mkakati hapa,lissu alipigwa shaba
 
Mbona unajihangaisha bure. Google 1) Clifford v Millicom na 2) Millicom v Clifford. Hizi kesi ziliamliwa moja (1) Januari 23, 2023 & ya (2) May 22, 2022. Let the facts speak by themselves. Anyway, ngoja nikuwekee hapa.
Asante sana, halafu wengine waje kusema kwamba sijui sovereignty, sijui madudu gani , wakati reasoning yote imetolewa kwenye hizo documents kufikia kwa kesi hii kuwa Public
 
Back
Top Bottom