Kesi ya Michael Clifford dhidi ya Tigo ni mkakati, kuna jambo zito ndani yake

Kesi ya Michael Clifford dhidi ya Tigo ni mkakati, kuna jambo zito ndani yake

Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike.
Hiii nchi ya kupumzika sana,,,,
Watu mnafanya ujinga na upuuzi mnatafuta pa kujifucha,,,,,( mabeberu) …..
Shame on you all( sisiemu)
 
Wewe hujamwona Waziri wako wa afya akijigaragaza mavumbini kama shukrani kwa Mama kapeleka miradi huko Ruvuma.

Huyu ni Waziri ana level hiyo fikiria mtu wa kawaida balozi wa nyumba kumi au mwendesha bodaboda atakuwa na akili za namna gani.
Hapo ndo tunapata picha tunaongozwa na jopo la viongozi vilaza kiwango Cha mwisho.

Rais kupeleka huduma sio hiari Wala hisani yake ni lazima kufanya hivyo maana ni Kodi za wananchi hapeleki hata mia ya kwenye mshahara wake kule.
 
Back
Top Bottom