Kesi ya Michael Clifford dhidi ya Tigo ni mkakati, kuna jambo zito ndani yake

Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike.
Kwa hiyo ndugu Low thinker....Mabeberu ndio walimpiga Tundu Lissu Risasi na wakazuia na Uchunguzi Usifanyike?
 
Hakika kabisa nakubaliana na wewe mkuu.
 
Kwani Tigo ni ya Tanzania? Kama huyo Clifford anaona amedhulumiwa haki yake, unashauri ni sehmu gani sahihi alipopaswa kwenda kuidai?
 
Mjinga huyu,hata kama walimdukua na kubaini amefanya uhalifu adhabu yake Lissu ndo risasi kweli!?,code zmeanza kufunguka kwanini Makonda amewekewa vikwazo na Marekani,hawa jamaa wanatujua nje ndani
Kimsingi, nchi ya Marekani na washirika wake wanatufahamu kwa undani zaidi kuliko hata sisi wenyewe tunavyojifahamu. Wenzetu Serikali zao wamewekeza Sana kwenye Intelligence Investigation and Information gathering, wakati sisi Serikali zetu zimejikita kwenye kufanya siasa uchwala na kuwafuatilia Wakosoaji wa Serikali na kisha kuwafanyia ushetani.
 
Unawaita wazungu mabeberu lakini wakiwapa misaada mnapokea na mnatumia pesa hizo hizo kujaza matumbo yenu kama wewe hapo unapojamba hovyo kwa misaada yao na pesa nyingine mnatumia gharama za kuteka watu wasio na hatia. Mkishavimbiwa misaada ya mnaowaita mabeberu mnatoka hadharani na kusema "tunamshukuru mama"
 
Waliokemea utekaji na mauaji walikemewa kwa kuingilia masuala ya ndani. Hapo unataka kusema nini?
 
Kikubwa ngoja waliompiga risasi Tundu Lissu wakamatwe inaonekana huyo jamaa aliyewahi kuwa mfanyakazi wa Tigo ana ushaihi wa kutosha
 
Hakuna cha mkakati hapa,lissu alipigwa shaba
 
Mbona unajihangaisha bure. Google 1) Clifford v Millicom na 2) Millicom v Clifford. Hizi kesi ziliamliwa moja (1) Januari 23, 2023 & ya (2) May 22, 2022. Let the facts speak by themselves. Anyway, ngoja nikuwekee hapa.
Asante sana, halafu wengine waje kusema kwamba sijui sovereignty, sijui madudu gani , wakati reasoning yote imetolewa kwenye hizo documents kufikia kwa kesi hii kuwa Public
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…