Kesi ya Michael Clifford dhidi ya Tigo ni mkakati, kuna jambo zito ndani yake

Umeandika UTOKO
 
Mi nadhani tusikimbilie kusema mabeberu, walioomba namba yawezemana wakawa wahuni fulani tu wakitaka kuichafua serikali yaani waliwekeza hicho kitu. Naamini kabisa serikali ingetaka kumuua Lisu wasingetumia hiyo mbinu ya kitoto kiasi hicho.
Duuh kama ndo tuna serikali ya Hivi huoni kuwa ni hatari mkuu? Yaani wahuni wawe wanajiamria tu kuwa tumuue fln Wala serikali haijari!!

Kama serikali haikuhusika Kwa namna Moja ama nyingine Kwa kosa kubwa kama lile kwanini isipambane usiku na mchna kuwabaini hao wahuni?
 
Endelea na hisia zako watu watakuona wa kukurupuka hi ngoma ni toka 2019,vyovyote vile haki ya mtu haipotei tuko na LISU ni mtanzania mwenzetu
 
Suala la kupigwa risasi linahitaji ushahidi usio shaka, huenda hata waliomshambulia Lissu ni watu wengine kabisa, au tukahisi walitoka ndani ya Chadema, kwa sababu hata tukio la mauaji ya Chacha Wangwe lilikuwa na mashaka pia.
We chawa;
Kuhusu Comparison ya tukio la Chacha wanwe na la Tundu Lissu kupigwa Risasi uelewe kuwa Kosa halihalishi kosa, hata hilo la Chacha wangwe kwa muda wake linaweza kuabza upya, jikumbushe Jinai haina ukomo wa muda.

Kuhusu ushahidi unaotaka kuhusu tukio la Tundu Lissu ni upi, ninyi kama seriklai wenye dhamana na nguvu ya kila aina mnashindwa nini kubaini tu wale waliong'oa camera? baadhi yenu wenye nguvu mnahusika.
 
Asante sana, halafu wengine waje kusema kwamba sijui sovereignty, sijui madudu gani , wakati reasoning yote imetolewa kwenye hizo documents kufikia kwa kesi hii kuwa Public
Yes, mmoja amesema eti kesi iliamliwa baada ya maandamano ya Jumatatu Septemba 23, 2024 na kama unavyojua, akaanza ku'speculate' mambo yasiyokuwepo. Na watu ni wajuzi sana kwa kupika uwongo. Sasa nimeweka hizo kesi mbili ili athibitishe kama anaongelea jambo lile lile linalotokana na press conference ya Tundu Lissu jana au ni tofauti.
 
Mi nadhani tusikimbilie kusema mabeberu, walioomba namba yawezemana wakawa wahuni fulani tu wakitaka kuichafua serikali yaani waliwekeza hicho kitu. Naamini kabisa serikali ingetaka kumuua Lisu wasingetumia hiyo mbinu ya kitoto kiasi hicho.
Kwa hili naungana na wewe serikali ingetaka kumuua ingetumia mbinu kama iliyotumia kumteka mzee Kibao ikamwagia tindikali kumtoboa macho ikamuua kisha ikamtupa ununio.
 
Unakaa unatunga uchafu mwiiingi sijui nani ausome!?!
Bora ungetuma picha unakata gogo kuliko maujinga kama haya...
 
Yaaaaawn 🥱🥱🥱anayelewa hii novel inatufundisha nini anijuze.
Moja tuu kampuni aliyokuwa anaitumikia ya Tigo ilikuwa inamilkiwa na Millcom sasa ishauzwa na haipo Tanzania ipo Uingereza ataishitakiaje kwa Prof Juma?
 
Mi nadhani tusikimbilie kusema mabeberu, walioomba namba yawezemana wakawa wahuni fulani tu wakitaka kuichafua serikali yaani waliwekeza hicho kitu. Naamini kabisa serikali ingetaka kumuua Lisu wasingetumia hiyo mbinu ya kitoto kiasi hicho.
Wahuni flani sasa ndio hii Serekali....
 
amani tulionayo watanzania tukifanya mchezo hivi vyama vya upinzani vinavyotumika na mabeberu vinakwenda kuitia doa
 
Haiwezekani kesi ifunguliwe halafu isikilizwe siku hiyo hiyo.. hayo yaliyokuwa revealed ni kwa sababu kesi imefikia hatua ya hearing.

Tafuta uongo mwingine
 
KESI hiyo imefunguliwa 2019,tigo kipindi chote hicho mahakama ilivyoamuru kusikiliza

Tigo waliomba isikilizwe kwa Siri ,kutoka 2019 kulikuwa na mvutano njia ipi itumike

Baada ya hukumu kutolewa KESI imeamuliwa isikilizwe kwa uwazi kwakuwa inamaslahi na umma

Inakuwaje useme KESI imefunguliwa Juzi wakati imefunguliwa miaka miwili Toka LISu apigwe risasi
 
Aondoke nchi ishamshinda Mda tu, hizo zingine ni propaganda.

Kwani lazima aendelee wakati kila kitu kinaonekana dhahiri uwezo mdogo ...

Tunataka Ikulu yetu wake wenye brains Na si grains
 
Uhai kwanza , wahalifu washughulikiwe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…