YONASHA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2018 Posts 504 Reaction score 1,167 Sep 27, 2024 #81 MIMI BABA YENU said: Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike. Click to expand... Hiii nchi ya kupumzika sana,,,, Watu mnafanya ujinga na upuuzi mnatafuta pa kujifucha,,,,,( mabeberu) ….. Shame on you all( sisiemu)
MIMI BABA YENU said: Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike. Click to expand... Hiii nchi ya kupumzika sana,,,, Watu mnafanya ujinga na upuuzi mnatafuta pa kujifucha,,,,,( mabeberu) ….. Shame on you all( sisiemu)
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Sep 27, 2024 #82 Ngongo said: Wewe hujamwona Waziri wako wa afya akijigaragaza mavumbini kama shukrani kwa Mama kapeleka miradi huko Ruvuma. Huyu ni Waziri ana level hiyo fikiria mtu wa kawaida balozi wa nyumba kumi au mwendesha bodaboda atakuwa na akili za namna gani. Click to expand... Hapo ndo tunapata picha tunaongozwa na jopo la viongozi vilaza kiwango Cha mwisho. Rais kupeleka huduma sio hiari Wala hisani yake ni lazima kufanya hivyo maana ni Kodi za wananchi hapeleki hata mia ya kwenye mshahara wake kule.
Ngongo said: Wewe hujamwona Waziri wako wa afya akijigaragaza mavumbini kama shukrani kwa Mama kapeleka miradi huko Ruvuma. Huyu ni Waziri ana level hiyo fikiria mtu wa kawaida balozi wa nyumba kumi au mwendesha bodaboda atakuwa na akili za namna gani. Click to expand... Hapo ndo tunapata picha tunaongozwa na jopo la viongozi vilaza kiwango Cha mwisho. Rais kupeleka huduma sio hiari Wala hisani yake ni lazima kufanya hivyo maana ni Kodi za wananchi hapeleki hata mia ya kwenye mshahara wake kule.