Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

[emoji1][emoji1][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimejifunza kitu hapa Tanzania,kua Msajili ndiyo msemaji wa mishwo, yaani Msajili ndiyo kila kitu! Hata huko Mahakamani anatamba Msajili wa Mahakama Kuu!!
... kuna mamlaka za kisheria kwenye sectors mbalimbali kauli zao ndio final! Mkemia Mkuu akisema huu mkojo ulikuwa na traces za madawa ya kulevya hakuna wa kupinga na Mahakama haitakuwa na objection.

Vivyo hivyo NIDA akisema huyu sio raia ndio hivyo! RITA akisema hiki cheti cha ndoa ni feki; that's final! TRA akisema huyu ni mkwepa kodi imekula kwako. TCRA akisema huu mziki haufai kupigwa kwenye media apinge nani? Hospital ikisema huyu kanyongwa ni kazi ya polisi kumtafuta muuaji; etc. etc. etc.

Ndio maana inapingwa sana vyombo hivyo kutumika kisiasa; watawala waovu wanaweza kuvitumia vibaya kuumiza wasiowataka! Vinatakiwa viwe huru kweli kweli mbali kabisa na influences za kisiasa. Hiyo ndio maana yake; ndio maana KATIBA MPYA inatakiwa.
 
Kwahiyo vibaka wa mali za watoto wapate upenyo wa kuchukua mali,majambazi wa mali za watoto wakatafute zao...wanaume tujiongeze sio kuacha watoto wakiporwa jasho letu na hawa majambazi
 
Kosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?
Ndio shida ya wanawake wengi, hawajui kula na vipofu, yaan angejipendekeza kwa watoto yasingetokea haya
 
Aliambiwa athibitishe mali zake kwa kuweka viambatanisho, mtoto wa vicky na likwelile yeye yumo kwenye hesabu ila sio Vicky, aliwanyanyasa sana watoto wa Marehemu
 
Kwahiyo vibaka wa mali za watoto wapate upenyo wa kuchukua mali,majambazi wa mali za watoto wakatafute zao...wanaume tujiongeze sio kuacha watoto wakiporwa jasho letu na hawa majambazi
... marehemu hakuwa muwazi kwa "kibaka"; alitaka amchezee akijua ataacha msala nyuma. Lau kweli ingelijulikana mapema mambo yangelikuwa tofauti.
 
"Wanawake na maendeleo, tufanye kazi tusonge mbele"
bridge: "lelelelelelelele, lololololololo kina mama"

Kumbe muuza nyuchi, shenzi kabisa
Ndio maendeleo hayo alikuwa anawaambia, huwa nawaza kama wanaundugu na shetani
 
Kosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?
Muache tamaa pesa huwa hazitoshi
 
Yaani ikibainika kuna mali Vicky alipewa kimyakimya na marehemu zitataifishwa sio halali kwake, hata kama amazaa nae huyo ni sawa na mwizi ameiba mali za watu na anastaili hata kufungwa
 
si kweli, umewaza kibinafsi sana, huwezi ukaiingia kichwakichwa kwenye mto ukiwa unavuka na usichukue tahadhari ikiwa kuna mamba au la.

dr. Likwelile hakuwa raia wa kawaida, alikuwa katibu mkuu wizara ya fedha na mhadhiri mwandamizi wa uchumi UDSM. Ukizingatia kuwa hata Vicky kamata ni msomi wa kiwango cha digrii ya uzamili (kama nakumbuka vizuri) alipaswa kujua marital status ya likwelile.

Na katika hali ya kawaida, mwanaume au mwanamke wakikutana kwa mara ya kwanza hicho ndicho huwa kitu cha kwanza kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…