si kweli, umewaza kibinafsi sana, huwezi ukaiingia kichwakichwa kwenye mto ukiwa unavuka na usichukue tahadhari ikiwa kuna mamba au la.
dr. Likwelile hakuwa raia wa kawaida, alikuwa katibu mkuu wizara ya fedha na mhadhiri mwandamizi wa uchumi UDSM. Ukizingatia kuwa hata Vicky kamata ni msomi wa kiwango cha digrii ya uzamili (kama nakumbuka vizuri) alipaswa kujua marital status ya likwelile.
Na katika hali ya kawaida, mwanaume au mwanamke wakikutana kwa mara ya kwanza hicho ndicho huwa kitu cha kwanza kuuliza.