Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa.

Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.

Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
Huyo Groly si wa Likwelile,sasa sijui kama alimuadopt kisheria,au aliamua tu kutumia jina la Likwelile.
 
Kosa lake kubwa ni kukubali kufunga ndoa fake. Kukubali kuishi na mtu ambae hajamdivorce mkewe.
Kimsingi sipendi kuongelea maisha yake na marehemu, hayo yalikuwa maisha waliyoyachagua na yatabaki kuwa juu yao. Nipo kwa watoto… Unakumbuka watoto walivyofunguka mitandaoni kuelezea mateso & manyanyaso waliyokuwa wanayapata kutoka kwa Vicky baada ya baba yao kufariki? Hayo ndio yamepelekea kufikia mjadala huu tulionao sasa.
Laiti angeishi nao kwa mapenzi, mali zikagawanywa kwa usawa, wasingefika huku.
So yeah, hayo kwangu ndiyo makosa ya Vicky.
 
Hahahha,yaani Mbunge kweli Kilaza huyu.Ndo maana alifeli chuo kule London.Unafungaje ndoa na mwanaume ambae alifunga ndoa ya kikristo ya mke mmoja ,na haja divorce ndoa yake ya kwanza.Msukuma mwenzangu kaniaibisha.Alijua kawini kumbe ni loser maza fanta.
Ndugu ukifuatilia hiyo nakala ya kesi kuna ukakasi. Cheti cha ndoa kilicholetwa mahakamani ni cheti cha ndoa ya kiserikali. Imefungwa 1986. Je ndoa ya kiserikali imefungwa kuwa ya mke mmoja tu kama ya Kikristo? Halafu hapo kati mzee alioa mke mwingine. Na je kama alichana na mke wa kwanza miaka tuseme zaidi ya kumi japo ndoa haijavunjwa bado itahesabika kama ndoa? Ngoja nirudi nyuma kwenye sheria ya ndoa niangalie hizo dynamics
 
Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Likwelile, hakuwahi kudivorce na mkewe wa ndoa ya mke mmoja ya kanisani.
 
Huyo Groly si wa Likwelile,sasa sijui kama alimuadopt kisheria,au aliamua tu kutumia jina la Likwelile.
Owky hapo ndo paangaliwe maana kama sio damu yake na sio legal adopeted kuna issue hapo. Pia hiyo asset kama toka inanunuliwa iliandikwa jina la glory ni vigumu leo kusema ni mali ya Dr Likwelile. Pamoja na makosa ya wamama wa kambo ila kuna wazee ambao huwa ni malaya tu na mara nyingi hawa hata akili ya kuangalia watoto wangu wa nje wataishije ikiwa nitaondoka duniani. Anaweza kuwa na cheo kikubwa na bado asinunue chochote na kuwapa watoto ambao sio wa mke wa ndoa.
 
Nina swali moja, kwenye mwenendo wa kesi inasemekana Dr alioa 1986. Ndoa ya kiserikali. Mwaka 94 akasheherekea ndoa ya kikristo. Je unapewa vyeti viwili? Kama cheti cha kwanza ndicho halali je ndoa ya kiserikali ni ya mke mmoja au wake wengi?
Cheti Cha ndoa ni kimoja tu Cha serikali, hata ukifunga ndoa kanisani cheti ni hichohicho Cha serikali.

Kwenye ndoa ndio unatamka ndoa ya mke mmoja au wake wengi na cheti kinaandikwa hivyo.
 
Ndugu ukifuatilia hiyo nakala ya kesi kuna ukakasi. Cheti cha ndoa kilicholetwa mahakamani ni cheti cha ndoa ya kiserikali. Imefungwa 1986. Je ndoa ya kiserikali imefungwa kuwa ya mke mmoja tu kama ya Kikristo? Halafu hapo kati mzee alioa mke mwingine. Na je kama alichana na mke wa kwanza miaka tuseme zaidi ya kumi japo ndoa haijavunjwa bado itahesabika kama ndoa? Ngoja nirudi nyuma kwenye sheria ya ndoa niangalie hizo dynamics
Bado ni ndoa ndiyo .Kama hakuna hati ya Talaka bado ni ndoa yes.Cheti cha ndoa huwa unachagua je ya mitala au ya mke mmoja?Sasa mkijaza ya mke mmoja basi, ukioa ndoa zinazofuata hapo ni batili.Dawa ni kupata hati ya Talaka,kabla haujafunga ndoa nyingine.
 
Huyu mama ni mjinga sana, amekuwa mbunge kwa miaka 10, alishindwa nini kuwa na mali zake?
Ndio aina ya maisha yake..hakuanza.mishe hizo leo kama sikosei taarifa zinaonyesha anahusika na baadhi ya wastaafu hata kuwaletea vijana duniani..

unakumbuka ile ingine alitangaza ndoa akachangisha na hela bungeni alafu muoaji akaingia mitini siku ya ndoa akabaki na shela lake? Tabata.
 
Hahahha,yaani Mbunge kweli Kilaza huyu.Ndo maana alifeli chuo kule London.Unafungaje ndoa na mwanaume ambae alifunga ndoa ya kikristo ya mke mmoja ,na haja divorce ndoa yake ya kwanza.Msukuma mwenzangu kaniaibisha.Alijua kawini kumbe ni loser maza fanta.
Bora umemuambia ukweli mtupu msukum mwezako
 
Lakini si ana mtoto na huyo marehemu? Wakati mwingine tuache vingine vitupite. Kama amezaa nae na ni watoto halali wa huyo mzee wanastahili pia.

Na kama mali imeandikwa jina langu huwezi kuiweka kwenye mali za marehemu. Maana nikisoma vielelezo kuna mali hapo inaonesha imeandikwa kwa jina la Vick. Tusishabikie sana maana hakuna msafi hapa. Basi tu za kwetu hazijulikani.
Hajazaa nae Hata mtoto mmoja mbona
 
Back
Top Bottom