mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kujitenga na wajinga.
Kosa lake kubwa ni kukubali kufunga ndoa fake. Kukubali kuishi na mtu ambae hajamdivorce mkewe.Kosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?
Mnajifanyaga mnajuwa kingereza Sana Basi wew kwanin usingekuwa judge Basi naona una mudu lugha hyo vyemaaKilichomshangaza yeye na mimi hapo, ni lugha, huwezi ukaandika 'is fails', tena jaji kabisa.
Huyo Groly si wa Likwelile,sasa sijui kama alimuadopt kisheria,au aliamua tu kutumia jina la Likwelile.Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa.
Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
Kimsingi sipendi kuongelea maisha yake na marehemu, hayo yalikuwa maisha waliyoyachagua na yatabaki kuwa juu yao. Nipo kwa watoto… Unakumbuka watoto walivyofunguka mitandaoni kuelezea mateso & manyanyaso waliyokuwa wanayapata kutoka kwa Vicky baada ya baba yao kufariki? Hayo ndio yamepelekea kufikia mjadala huu tulionao sasa.Kosa lake kubwa ni kukubali kufunga ndoa fake. Kukubali kuishi na mtu ambae hajamdivorce mkewe.
Ndugu ukifuatilia hiyo nakala ya kesi kuna ukakasi. Cheti cha ndoa kilicholetwa mahakamani ni cheti cha ndoa ya kiserikali. Imefungwa 1986. Je ndoa ya kiserikali imefungwa kuwa ya mke mmoja tu kama ya Kikristo? Halafu hapo kati mzee alioa mke mwingine. Na je kama alichana na mke wa kwanza miaka tuseme zaidi ya kumi japo ndoa haijavunjwa bado itahesabika kama ndoa? Ngoja nirudi nyuma kwenye sheria ya ndoa niangalie hizo dynamicsHahahha,yaani Mbunge kweli Kilaza huyu.Ndo maana alifeli chuo kule London.Unafungaje ndoa na mwanaume ambae alifunga ndoa ya kikristo ya mke mmoja ,na haja divorce ndoa yake ya kwanza.Msukuma mwenzangu kaniaibisha.Alijua kawini kumbe ni loser maza fanta.
Likwelile, hakuwahi kudivorce na mkewe wa ndoa ya mke mmoja ya kanisani.Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Owky hapo ndo paangaliwe maana kama sio damu yake na sio legal adopeted kuna issue hapo. Pia hiyo asset kama toka inanunuliwa iliandikwa jina la glory ni vigumu leo kusema ni mali ya Dr Likwelile. Pamoja na makosa ya wamama wa kambo ila kuna wazee ambao huwa ni malaya tu na mara nyingi hawa hata akili ya kuangalia watoto wangu wa nje wataishije ikiwa nitaondoka duniani. Anaweza kuwa na cheo kikubwa na bado asinunue chochote na kuwapa watoto ambao sio wa mke wa ndoa.Huyo Groly si wa Likwelile,sasa sijui kama alimuadopt kisheria,au aliamua tu kutumia jina la Likwelile.
Cheti Cha ndoa ni kimoja tu Cha serikali, hata ukifunga ndoa kanisani cheti ni hichohicho Cha serikali.Nina swali moja, kwenye mwenendo wa kesi inasemekana Dr alioa 1986. Ndoa ya kiserikali. Mwaka 94 akasheherekea ndoa ya kikristo. Je unapewa vyeti viwili? Kama cheti cha kwanza ndicho halali je ndoa ya kiserikali ni ya mke mmoja au wake wengi?
Bado ni ndoa ndiyo .Kama hakuna hati ya Talaka bado ni ndoa yes.Cheti cha ndoa huwa unachagua je ya mitala au ya mke mmoja?Sasa mkijaza ya mke mmoja basi, ukioa ndoa zinazofuata hapo ni batili.Dawa ni kupata hati ya Talaka,kabla haujafunga ndoa nyingine.Ndugu ukifuatilia hiyo nakala ya kesi kuna ukakasi. Cheti cha ndoa kilicholetwa mahakamani ni cheti cha ndoa ya kiserikali. Imefungwa 1986. Je ndoa ya kiserikali imefungwa kuwa ya mke mmoja tu kama ya Kikristo? Halafu hapo kati mzee alioa mke mwingine. Na je kama alichana na mke wa kwanza miaka tuseme zaidi ya kumi japo ndoa haijavunjwa bado itahesabika kama ndoa? Ngoja nirudi nyuma kwenye sheria ya ndoa niangalie hizo dynamics
Ndio aina ya maisha yake..hakuanza.mishe hizo leo kama sikosei taarifa zinaonyesha anahusika na baadhi ya wastaafu hata kuwaletea vijana duniani..Huyu mama ni mjinga sana, amekuwa mbunge kwa miaka 10, alishindwa nini kuwa na mali zake?
Bora umemuambia ukweli mtupu msukum mwezakoHahahha,yaani Mbunge kweli Kilaza huyu.Ndo maana alifeli chuo kule London.Unafungaje ndoa na mwanaume ambae alifunga ndoa ya kikristo ya mke mmoja ,na haja divorce ndoa yake ya kwanza.Msukuma mwenzangu kaniaibisha.Alijua kawini kumbe ni loser maza fanta.
Mama bwana kutoa vyeo Kwa Watu hovo hovyo tuNi msemaji wa mamlaka ya misitu Tanzania. TFS
Edited. Ni msemaji wa mamlaka ya wanyamapori TAWA.
Mimi nimekumis Nifah wanguKosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?
Hajazaa nae Hata mtoto mmoja mbonaLakini si ana mtoto na huyo marehemu? Wakati mwingine tuache vingine vitupite. Kama amezaa nae na ni watoto halali wa huyo mzee wanastahili pia.
Na kama mali imeandikwa jina langu huwezi kuiweka kwenye mali za marehemu. Maana nikisoma vielelezo kuna mali hapo inaonesha imeandikwa kwa jina la Vick. Tusishabikie sana maana hakuna msafi hapa. Basi tu za kwetu hazijulikani.
HahaaaaaaaaaMke wa mrema alsema ana project ya million Mia pale moshii..... Asa alikuwa analia nn? Kuhus tair kutolewa kwa gari?
Alidaii hvoo sasa sjui analilia nn Tena gari harrier nadhan.... Km fala atafutee mzee huko unafkr pale atakaaHahaaaaaaaaa