Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Ndugu ukifuatilia hiyo nakala ya kesi kuna ukakasi. Cheti cha ndoa kilicholetwa mahakamani ni cheti cha ndoa ya kiserikali. Imefungwa 1986. Je ndoa ya kiserikali imefungwa kuwa ya mke mmoja tu kama ya Kikristo? Halafu hapo kati mzee alioa mke mwingine. Na je kama alichana na mke wa kwanza miaka tuseme zaidi ya kumi japo ndoa haijavunjwa bado itahesabika kama ndoa? Ngoja nirudi nyuma kwenye sheria ya ndoa niangalie hizo dynamics
Chombo pekee chenye mamlaka ya kutamka ndoa imevunjika ni Mahakama.

Kutengana Kwa mda mrefu is only an evedence that the marriage has broken down beyond repair, but it does not itself become an outomatic lisence to divorce!

Ndoa halali inaweza Kufika ukomo Kwa sababu zifuatazo.
1.Death of a spouse.
2. Decree of divorce
3. Annulment by the Court
4. Court declaration that one spouse is presumed dead!

Kutengana kwa mda mrefu hakufanyi ndoa ifike mwisho.
Kwa nyongeza Kuna watu kibao tu mna ndoa fake za kikristo. Unaenda kufunga ndoa ya kimila au ya serikali( civil marriage) and inakuwa registered. Baada ya mda unafunga eti ndoa nyingine kanisani. My friend hiyo ya kanisani ni fake. Both types of marriage have the same stutus, huwezi ukafunga aina nyingine ya ndoa before first having disolved the former!
 
Hao watoto 7 aliyozaa na wanawake 7 wote wakapimwe DNA kujua kama kweli marehemu ndiye baba, akiwemo huyo mlalamikaji. Huyo wakili wa Vicky angekuja na hii hoja mapema sana na ungekuta watoto halali pengine ni watatu tu.
 
Huyo Vicky Kamata kosa lake ni hakufanya due diligence ya kuchunguza marital status ya marehemu kabla ya kufunga naye ndoa. Hiyo imemcost big time hata kama aliingia kwenye ndoa na marehemu on a purely bona fide basis, which I believe to be the case. Hakufoji chochote (hiyo ni lugha tu ya mahakama kwenye hukumu) sema hakuchunguza kabla ya kuingia ndoa. Imekula kwake.
 
Mnajifanyaga mnajuwa kingereza Sana Basi wew kwanin usingekuwa judge Basi naona una mudu lugha hyo vyemaa

Shenzi tyipu
Nyie ndiyo wale inaonekana kabisa mchezaji wa mpira wa timu flani,anapuyanga,mnasema ingia nawewe ucheze...
Huyo jaji anaweza akafanya kazi ninayoifanya?
Lakini kwanini mimi niruhusu watu wanikosoe kwenye shughuli yangu,ila yeye jaji akikosolewa basi nikafanye kazi aliyoisomea?
Kila mtu aboreshe kazi yake,makosa yakuepukika,yaepukwe.
 
Lakini si ana mtoto na huyo marehemu? Wakati mwingine tuache vingine vitupite. Kama amezaa nae na ni watoto halali wa huyo mzee wanastahili pia.

Na kama mali imeandikwa jina langu huwezi kuiweka kwenye mali za marehemu. Maana nikisoma vielelezo kuna mali hapo inaonesha imeandikwa kwa jina la Vick. Tusishabikie sana maana hakuna msafi hapa. Basi tu za kwetu hazijulikani.
Maelezo yako ni muhimu na yapo relevant ikiwa tuu yangetumika Kanisani au misikitini Kwa waumini.

Lakini Watu wanachojadili humu ni hukumu iliyotolewa.

Mahakamani itathibitisha kuwa wewe ni MKE wa Fulani, na watoto ulionao ni halali ya huyo Mume au laa. Kisha zitafuata Mali na vielelezo vyake kuonyesha kuwa ni vyako.

Kama aliweza kufoji nyaraka zingine atashindwa kufoji hizo nyaraka za hizo Mali zilizoandikwa Kwa majina yake?
 
Hahahha,yaani Mbunge kweli Kilaza huyu.Ndo maana alifeli chuo kule London.Unafungaje ndoa na mwanaume ambae alifunga ndoa ya kikristo ya mke mmoja ,na haja divorce ndoa yake ya kwanza.Msukuma mwenzangu kaniaibisha.Alijua kawini kumbe ni loser maza fanta.
Duh kumbe alienda kusoma London

[emoji1]

Ova
 
Duh kumbe alienda kusoma London

[emoji1]

Ova
Acha tu,na aliwahi fanya kazi BOT.Ujue huyu alikuwa chombo ya JK.Huyu dada akili za darasani hana,kumbe na kwenye maisha hana aisee.Ujue kabla ya hapo aliwahi kuwa mchepuko wa marehemu Mpakanjia.Hapo alipo anakula ARV, uzuri walikutana na Likwelile wote wanakula ARV.
 
Nilishangaa eti huyu na yule wa arusha wanaenda kututungia sheria mjengoni ... [emoji1]

Ova
 
Kwenda shule hakuondoi ujinga.

Kujifunza na kupata elimu huondoa ujinga.

Shule Ulienda kusomea ujinga wew Bibi
Kimenisikitisha hicho Kingereza kilichopo kwenye hukumu.

Dah, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Ikiwa judge ndio hivyo, judegement siu itatupiliwa mbali mahakama ya rufaa kwa lugha tu hiyo.
 
Akate rufaa atapewa Maokoto unamshauri?
Bila kumshauri, hawachii huyo. Hao wanawake wa viti maalum (wa vyama vyote) wasio na utaalam wowote nawafahamu sana, wana tamaa za ajabu.

Wachawi, washenzi, mbwa, wezi, wanafiki, waongo, na kila yenye laana wao hawajali, huyo atafanya lolote na chochote ili wapate mali.

Huyo nakuhakikishia wakati analiwa na huyo marehemu utakuta ana msururu mwengine wa kama huyo wana mla, kwa tamaa za mali tu.

Huyo ni chui kwenye ngozi ya kondoo.
 
Chombo pekee chenye mamlaka ya kutamka ndoa imevunjika ni Mahakama.

Kutengana Kwa mda mrefu is only an evedence that the marriage has broken down beyond repair, but it does not itself become an outomatic lisence to divorce!

Ndoa halali inaweza Kufika ukomo Kwa sababu zifuatazo.
1.Death of a spouse.
2. Decree of divorce
3. Annulment by the Court
4. Court declaration that one spouse is presumed dead!

Kutengana kwa mda mrefu hakufanyi ndoa ifike mwisho.
Kwa nyongeza Kuna watu kibao tu mna ndoa fake za kikristo. Unaenda kufunga ndoa ya kimila au ya serikali( civil marriage) and inakuwa registered. Baada ya mda unafunga eti ndoa nyingine kanisani. My friend hiyo ya kanisani ni fake. Both types of marriage have the same stutus, huwezi ukafunga aina nyingine ya ndoa before first having disolved the former!
Hivi Dkt Slaa mbona kama inafanana na hii.Yule mama wa Mwanzo(Kamili) waliachana au wametengana tu bila Talaka?Vipi kuhusu Mushumbuzi si alivaa Shela nayeye?
 
Back
Top Bottom