kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Chombo pekee chenye mamlaka ya kutamka ndoa imevunjika ni Mahakama.Ndugu ukifuatilia hiyo nakala ya kesi kuna ukakasi. Cheti cha ndoa kilicholetwa mahakamani ni cheti cha ndoa ya kiserikali. Imefungwa 1986. Je ndoa ya kiserikali imefungwa kuwa ya mke mmoja tu kama ya Kikristo? Halafu hapo kati mzee alioa mke mwingine. Na je kama alichana na mke wa kwanza miaka tuseme zaidi ya kumi japo ndoa haijavunjwa bado itahesabika kama ndoa? Ngoja nirudi nyuma kwenye sheria ya ndoa niangalie hizo dynamics
Kutengana Kwa mda mrefu is only an evedence that the marriage has broken down beyond repair, but it does not itself become an outomatic lisence to divorce!
Ndoa halali inaweza Kufika ukomo Kwa sababu zifuatazo.
1.Death of a spouse.
2. Decree of divorce
3. Annulment by the Court
4. Court declaration that one spouse is presumed dead!
Kutengana kwa mda mrefu hakufanyi ndoa ifike mwisho.
Kwa nyongeza Kuna watu kibao tu mna ndoa fake za kikristo. Unaenda kufunga ndoa ya kimila au ya serikali( civil marriage) and inakuwa registered. Baada ya mda unafunga eti ndoa nyingine kanisani. My friend hiyo ya kanisani ni fake. Both types of marriage have the same stutus, huwezi ukafunga aina nyingine ya ndoa before first having disolved the former!