Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

yes cheti cha ndoa cha serikali na kanisani ni hicho hicho hamna tofauti na kuna sehemu ya kutiki ni ndoa ya mke mmoja au wake wengi. upo nyonyo maana naona umekazana kutetea kitu usichokijua.
Pita mpaka mpaka mwisho wa kuchangia kwangu.
Alifoji. Sasa mahakama itakupaje vitu ambavyo sio vyako. Kuandika jina sio hati miliki au uhalali kwamba vile vitu ni vyako.
Mahakama imejiridhisha kuhusu cheti cha ndoa. Kwenye umiliki imesema sio jukumu lake. Hapo zinafuatiliwa hati za mabadilishano. Huwa mkishabadilishana umiliki lazima iwekwe copy wizara ya ardhi. Pia kule brela kuna fomu halisi za umiliki wa hisa. Kama imeandikwa brela ninamiliki asilimia fulani na ni form original ni vigumu kusema ni fogery maana hakuna aliyekuwepo siku ikitokewa. All in all kuna vitu atapoteza ila sio vyote.
 
Ndugu ukifuatilia hiyo nakala ya kesi kuna ukakasi. Cheti cha ndoa kilicholetwa mahakamani ni cheti cha ndoa ya kiserikali. Imefungwa 1986. Je ndoa ya kiserikali imefungwa kuwa ya mke mmoja tu kama ya Kikristo? Halafu hapo kati mzee alioa mke mwingine. Na je kama alichana na mke wa kwanza miaka tuseme zaidi ya kumi japo ndoa haijavunjwa bado itahesabika kama ndoa? Ngoja nirudi nyuma kwenye sheria ya ndoa niangalie hizo dynamics
Cheti Cha ndoa ni kimoja Toka serikalini.
 
Cheti Cha ndoa ni kimoja Toka serikalini.
Nimeshaeleweshwa nilichokua nauliza toka kwa dada victorie. All in all ninachoweza kusema kuna watu wengi mno hawana ndoa na wenzi wao japo wamefunga ndoa. Mara nyingi watu hawafuatilii kama padre amekisajili cheti huko Rita. Akishatoka kanisani yeye wala vimeisha.
 
Hivi wewe unazijua akili za wanawake au unazisikia tu?aliyesema mwalimu wa wanawake ni kipofu,alijua asemalo.
Kosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?
 
Pita mpaka mpaka mwisho wa kuchangia kwangu.

Mahakama imejiridhisha kuhusu cheti cha ndoa. Kwenye umiliki imesema sio jukumu lake. Hapo zinafuatiliwa hati za mabadilishano. Huwa mkishabadilishana umiliki lazima iwekwe copy wizara ya ardhi. Pia kule brela kuna fomu halisi za umiliki wa hisa. Kama imeandikwa brela ninamiliki asilimia fulani na ni form original ni vigumu kusema ni fogery maana hakuna aliyekuwepo siku ikitokewa. All in all kuna vitu atapoteza ila sio vyote.
Soma hukumu mpaka mwisho, mahakama imeamuru Mali zote ziingizwe kwenye Mirathi . Ina maana Vicky kutokuwa mke kunamuondolea haki zote za umiliki wa Mali.
 
Aiseee yaani vicky na mimali yote aliyokuwa nayo lakini anataka adhulumu watoto na mke halali wa marehemu? Una Mijengo ya maana ,una biashara kibao ,una kazi yenye mshahara mkubwa ,una uhakika wa kupata pension lakini bado unataka mali nyingine za dhuluma?
 
Mkuu umetisha Sana..... Sometimes wanaume ndo tunasababisha haya yote.... Angalia kina mengi mrema, huyu nae kuchukua madanga
Mkuu michepuko ni matapeli kwa hivyo ukiamua kua na mchepuko basi uwe na akili zaidi. Mtu wangu wa karibu ana mchepuko sasa mchepuko anaishi kwenye nyumba anajua yake maana kapewa hati fake na alivyomjinga hakuwahi kwenda kulipa kodi ya kiwanja manispaa ili ajue kama hati ni OG. Hati halali inasoma jina la mke halisi. Tuko tumekaa pale kwenye kona tunasubiri siku ya siku.

Nawakumbusha wanaume wenzangu ukiona mwanamke kakubali kua mchepuko na una hela basi huyo kafata hela.
 
Huyu si ndo inspirational wa wanawake Tanzania?? Aliwaimbia mpaka wimbo wafanye kazi wapate MAENDELEO??

Kumbe kazi kudanga? Kusuburi watu wafe akadai mirathi kortini?

In this world trust nobody!!!

Kaka una uakika alikua anadanga? Au unasema sababu tu umesikia maneno ya wachumia tumbo?

Acha kutuhumu Mtu kwa maneno ya kuskia tena mtandaoni.

Vicky ana Nyumba sinza huenda huwezi jenga mpaka umauti unakupata,sio sawa kuongea vitu usivyo na uakika navyo.
 
Kwa hiyo Mahakama imeamuru mali ambazo Vicky alikuwa akipinga kuingizwa katika orodha ya mali za marehemu akidai ziliingizwa kimakosa, zijumuishwe katika orodha ya mali za marehemu.

Mali hizo ni nyumba iliyopo kiwanja namba 116 iliyopo Mbweni, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambayo alisema walichuma pamoja na nyumba mbili zilizopo huko Mpiji Magoe jijini humo kwenye eneo lenye ukubwa wa hekari 9.5 ambayo alidai ana hisa asilimia 50.

Mbali na hizo, ipo nyumba viwanja namba 387 na 389 iliyopo kitalu D Sinza iliyopo kwa jina lake, nyumba iliyopo Kibamba kwa jina la mtoto wake Gloria Likwelile na viwanja namba 318,319,320 na 321 vilivyopo Mpigi Magoe Ubungo.

Viwanja hivyo vinamilikiwa na kampuni ya Beda Group Limited na Beda Farms Limited ambavyo Vicky alidai kuwa na asilimia 50 ya hisa na pia alipinga gari aina ya Toyota Prado namba T731 CQR na pikipiki Toyota namba MC 588 AHT.
Mtumishi wa umma mali zote hizi alizipataje? Billion 4 ndio thamani yake!! Hapo bado liquid assets - manoti!!!
 
Vicky Kamata hakuzaa na Likwelile wala mzee wa tabasamu. Ana watoto wawili. Wa kiume mkubwa kabisa nadhani hata chuo kamaliza na wa kike yupo form 4 hapo St. Peter Clever Dodoma. Vicky ni gold digger na hata marehemu wakati anaumwa mpaka umauti unamkuta Vicky hakuwepo Dar. Alikuwa Kampala eti anafatilia biashara zake. Hao watoto 7 ni wa mama watatu ndio alizaa nao Likwelile.
 
Kwa hiyo yeye alikuwa anaishi nae kama kaka yake au Mimi ndio sijaelewa...! Linafika swala la mali mambo mengi huibuka ndio maana Mimi nitawalea wanangu wajitafutie tuondoke kasumba ya mambo ya urithi. Haya mambo ya urithi yana letaga shida sana na kupotezeana muda au kuuana kabisa.
 
Kosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?
Sister habari za siku nyingi
 
Kimsingi sipendi kuongelea maisha yake na marehemu, hayo yalikuwa maisha waliyoyachagua na yatabaki kuwa juu yao. Nipo kwa watoto… Unakumbuka watoto walivyofunguka mitandaoni kuelezea mateso & manyanyaso waliyokuwa wanayapata kutoka kwa Vicky baada ya baba yao kufariki? Hayo ndio yamepelekea kufikia mjadala huu tulionao sasa.
Laiti angeishi nao kwa mapenzi, mali zikagawanywa kwa usawa, wasingefika huku.
So yeah, hayo kwangu ndiyo makosa ya Vicky.
Malaya ni malaya tu
 
Back
Top Bottom