Hii ni Kesi ya uchochezi , Kuna ile ya uhaini yaani kwenye video moja zimetoka Kesi mbili uhaini na uchochezi huu ni unyama wa kiwango Cha lamini , ila mwisho wa siku hakuna cheo Cha kudumu Wala traha za kudumu na tabu za kudumuMbona wamebadili hakimu? Yule mwingine kapatwa na nini?
Maza ana roho mbaya sn na katili kupita kiasiHii siyo sawa kubambikiana makes!
Maza ana roho mbaya sn na katili kupita kiasi
Kwa hii katiba mbovu anajiona yupo salama snView attachment 3390240
Picha inajieleza kabisa mkono shavuni