Kesi ya Raila Odinga ya Uchaguzi...

Kesi ya Raila Odinga ya Uchaguzi...

Unafungua kesi ya kutaka ushahidi wakati Uhuru anaota mizizi katika Urais, ataapishwa kesi yako haijafika popote, mwishowe rais kashajizatiti huwezi kumtoa.

Kama angetaka kumchallenge kungetakiwa pigo takatifu.

Pigo takatifu lina hatari ya kurudisha vurugu kama za mwaka 2007.

Raila hataki/anaogopa kujirudia vurugu, sensibly so.

Therefore, Raila hawezi kum challenge Uhuru effectively katika nchi ambayo rule of law iko shaky kama Kenya.

Kiranga,
I concur with you in some extent but Bado Uhuru hawezi kuapishwa hadi mahakama kuu itakapotoa Ruling na pia CJ wa Kenya Willy Mutunga is a man of intergrity.Pamoja na kuwa human beings are fragile but CORD wanaamini atasimamia principles
 
Mahakama kuu ina muda gani kutoa ruling? Odinga anaweza ku muster evidence na ku rally support without risking a bloodbath within those days?

If I were a betting man, I would bet for a Uhuru presidency.

Not to say I endorse any of the two oligarchs, they are pretty much of the same ilk to me.

Kama alivyosema Nyani Ngabu hapo juu, nchi zetu hizi mtu akishatangazwa mshindi ni vigumu sana kutengua hilo.

Kuna ma extralegal na unwritten rules kibao huko kuhusu practical matters na security yanayoweza ku prevail, kama sio outright Machiavellian 3d chess underwater, while swimming with the sharks without being eaten alive no less.

Which Raila obviously cannot play as well.

Hata Nyerere alivyokuwa katika deathbed, wajomba wajomba walikuwa hawaishi kusema"mgonjwa sana, lakini mzima bado, tumuombeee anaweza kupona".

Ndiyo haya ya kusema Raila anapeleka kesi mahakamani. Watu tunaona kabisa kazidiwa chess ila bado tunapeana matumaini "tumuombee, anaweza kushinda.

Fat chance!
 
Mahakama kuu ina muda gani kutoa ruling? Odinga anaweza ku muster evidence na ku rally support without risking a bloodbath within those days?

If I were a betting man, I would bet for a Uhuru presidency.

Not to say I endorse any of the two oligarchs, they are pretty much of the same ilk to me.

Kuanzia siku kesi itakapokuwa filled Mahakama ina siku 14 za kazi kutoa maamuzi.

Iwapo maamuzi yatataka uchaguzi kurudiwa, IEBC itatakiwa kuitisha uchaguzi ndani ya siku 60 tangu siku hukumu itakapotolewa.
 
Safari.com washatoa ushirikiano? Raila ana ushahidi gani mwingine ulio material and substantive enough kutengua matokeo ya tume ya uchaguzi na kuonyesha Kenya haiwezi kuhesabu kura?

Lazima awe na ushahidi wa nguvu.
 
kenya na tanzania napenda kuamini kuwa ni vitu viwili tofauti,kinaweza tokea kitu kenya ambacho kwa mazingira hayohayo kisitokee hapa kwetu tanzania.
 
Mleta uzi ni MTZ lakin jinsi alivyoanza para ya kwanza,anajaribu kututeka akili kama vile yeye ni jamaa wa Nai kwa uhuruto.

@ZeMarcopolo, uzi wako haukukusudia sana mambo ya Odinga lakini umeitumia kuchokoza mada kuhusu mgombea wa hapa kwetu aliyesema ata appeal na kupotelea hewani.

pili umechokoza mada ili tujadili mambo ya katiba yetu.umefanya hivi maksudi kulileta huku jukwa la kenya kwa sababu kula kukwa la siasa kuna pro chadema wengi sana wangekupin down mpaka ukayoyoma na hivi wanakujua kwamba wewe ni gamba.

ukiangalia kwa makini tayari mada imetoka kwa odinga na kuingia katiba ya Tz ilivyo nzuri au mbaya.heko gamba kuu jf aka @ZeMarcopolo,
 
Inashangaza kuona Raila Odinga anategemea ushahidi kutoka kwa Tume ya Uchaguzi na Safaricom ambao wote anawashutumu kumpendelea Uhuru

Kwa alivyokuwa haziamini IEBC na Safaricom, amelazimika kuomba agizo la mahakama liwashurutishe wampe nyaraka anazotaka kuzitumia kwenye kesi kuu.

Hapa sidhani kama kutakuwa na kesi seuze kujerewa kwa uchaguzi
 
Kitendo cha Raila kuanza kuwaita Uhuru na Ruto criminals kinaonyesha kabisa kuwa hili swala anataka kulisolve kisiasa na si kisheria.
 
Wakati Raila anatoa kauli za kumchokoza, Uhuru ameendelea kujijengea legitimacy ya kuongoza Kenya.

Leo alikuwa na kikao na wagombea Urais ambapo Raila hakuweza kufika lakini wengine wote walikuwepo.

Kisiasa hapa Raila anazidi kupoteza mvuto, na Uhuru anazidi kupendwa kwa kuonyesha nia ya dhati ya kuwaunganisha wakenya kuwa kitu kimoja...

wagombea kenya.jpg
 
Back
Top Bottom