Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Unafungua kesi ya kutaka ushahidi wakati Uhuru anaota mizizi katika Urais, ataapishwa kesi yako haijafika popote, mwishowe rais kashajizatiti huwezi kumtoa.
Kama angetaka kumchallenge kungetakiwa pigo takatifu.
Pigo takatifu lina hatari ya kurudisha vurugu kama za mwaka 2007.
Raila hataki/anaogopa kujirudia vurugu, sensibly so.
Therefore, Raila hawezi kum challenge Uhuru effectively katika nchi ambayo rule of law iko shaky kama Kenya.
Kiranga,
I concur with you in some extent but Bado Uhuru hawezi kuapishwa hadi mahakama kuu itakapotoa Ruling na pia CJ wa Kenya Willy Mutunga is a man of intergrity.Pamoja na kuwa human beings are fragile but CORD wanaamini atasimamia principles
