Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

Huyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
we mburura unajua kitu kinaitwa "circumstantial evidence" au unaropoka tu. kuna ushahidi mwingine umeshaingizwa sabaya akitaka hizo pesa, kama umefuatilia kwenye youtube taarifa mbalimbali za wandishi wanaeleza kila siku ya kesi nini shahidi kasema. kwahiyo kule bank alituma vijana wake baada ya yeye kwenda eneo la tukio na kuomba pesa hizo. ukiunganisha dot mnyororo usipokatika ndio unamkuta yeye pia ni miongoni mwao, na nasikia hizo camera zinaonyesha vijana aliowatuma wapo mle bank wakibeba mzigo.
 
Ewaaa ndo maana unamuona DAB kanusirika japo nae anakaa kwa machale maana yeye hakumdharau huyo mama.
Inawezekana! Maajabu utashangaa CCM mwaka 2025, anayekuja ni mwingine kabisaaa.

Akija ni Rafiki wa akina Sabaya tena. Hapo ndio tutajua, hatujui.
 
yaani mimi nikifika sehemu halafu nikakuta imefungwa security camera, huwa na behave so politely.

sabaya ni bonge moja la mshamba. huwezi kupiga tukio eneo ambalo limefungwa camera. kujiamini kwake kwa kupitiliza kumempoza.
 
Umeelewa kweli au umeamua tu kujivua akili kama mwanachama mkereketwa wa chama chetu
Imagine kesi inaendelea na kila siku media zinatupa updates. Halafu tayari anajua kwamba huyo mtu ni mfungwa wa makosa hayo hayo.
 
Sabaya alishafutwa, ata akiachiwa leo laana itamuandama mpaka kaburini mpaka kizazi chake tuliyasema kabla ya KESI hata kua na dalili na bado tunasema,

Hakuna sababu ya kutumia kodi za wananchi vibaya ,amefungwa tiyari sijui miaka 30 ,so hata mkimukum miaka mingene 30 , which is which au lengo nikupotezea KESI ya mh Mbowe ,Kama ndo jibu Basi mmekwama Sana KESI ya mh Mbowe ndo Sasa KILA ikialishwa masaa yanachelewa kuisha

Sabaya afungwe Iyo miaka 30 au muachieni Basi kuliko poteza pesa za umma
 
Jambazi mkubwa huyo
 
Sheria zinasemaje, je atarudishiwa pesa zake? Au ndo anafungwa tu?
 
Naomba kujua ni kwa nini ameshindwa kuendelea na kesi. Yani baada ya camer kuonesha ni kwa nini sasa ameshindwa kuendelea na kesi wakati yeye ni shahidi?
 
Naomba kujua ni kwa nini ameshindwa kuendelea na kesi. Yani baada ya camer kuonesha ni kwa nini sasa ameshindwa kuendelea na kesi wakati yeye ni shahidi?
wanasema alikuwa akilia tu kila akiangalia hiyo video inamkumbusha jinsi alivyosulubiwa na sabaya hadi akatoa pesa. kumbuka ni mwanaume, analia mbele za watu na anapandwa na hasira hadi anashindwa kuongea. nenda youtube kuna video nyingi watu wamepost.
 
Kwa hiyo unyama wa Sabaya uko wapi kwa mtu anaetoa pesa zakw benki?
kweli wewe ni kiazi. Alitoa akamkabidhi Sabaya km ushahidi unavyosema siyo. Au alimpa za nini.

Maneno machache lkn unashindwa kuambulia kitu.
 
Ok. Ahsante kaka nimekuelewa maana taarifa ya ITV yenyewe imeshindwa kufafanua kwa nini ameshindwa kuendelea na kesi. Hata hvyo nashukuru sana kwa ufafanuzi
 
Fact haiwezi kuwa established kwa staili.
Wewe Ni mbumbumbu mkuu kaa tu kimya km hiyo mistari michache umesoma na hujaelewa.

Inaonyesha hii kesi hujaifuatilia ndiyo maana hujui kwanini hizo video zimepelekwa mahakaman km ushahidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…