Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Tuwekee na ushahid wa CCTV camera mkuu wa huyo unaedai ni gaidi ili tujiridhisheUgaidi wa mbowe ni hatari kuliko wa Sabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee na ushahid wa CCTV camera mkuu wa huyo unaedai ni gaidi ili tujiridhisheUgaidi wa mbowe ni hatari kuliko wa Sabaya
we mburura unajua kitu kinaitwa "circumstantial evidence" au unaropoka tu. kuna ushahidi mwingine umeshaingizwa sabaya akitaka hizo pesa, kama umefuatilia kwenye youtube taarifa mbalimbali za wandishi wanaeleza kila siku ya kesi nini shahidi kasema. kwahiyo kule bank alituma vijana wake baada ya yeye kwenda eneo la tukio na kuomba pesa hizo. ukiunganisha dot mnyororo usipokatika ndio unamkuta yeye pia ni miongoni mwao, na nasikia hizo camera zinaonyesha vijana aliowatuma wapo mle bank wakibeba mzigo.Huyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
Mbona Jamaa alijisahau ...au ndo ile ilikua Task force
Inawezekana! Maajabu utashangaa CCM mwaka 2025, anayekuja ni mwingine kabisaaa.
Akija ni Rafiki wa akina Sabaya tena. Hapo ndio tutajua, hatujui.
Watanzania tunasahau mapema ikipita miaka 10 jua ndo basi imeisha hiyo labda atakayeingia awe aliumizwa na DAB hapo ndo kitawaka.kuna siku tu bashite atalamba gereza, hata mama hatakaa madarakani milele na jinai huwa haifi.
Kuna mijitu kichwani mmejaza funza tuuu, halafu unaweza kukuta anajiita msomi huku akili kisoda, acha upimbi weweee...Kwa hiyo unyama wa Sabaya uko wapi kwa mtu anaetoa pesa zakw benki?
Imagine kesi inaendelea na kila siku media zinatupa updates. Halafu tayari anajua kwamba huyo mtu ni mfungwa wa makosa hayo hayo.Umeelewa kweli au umeamua tu kujivua akili kama mwanachama mkereketwa wa chama chetu
Sabaya alishafutwa, ata akiachiwa leo laana itamuandama mpaka kaburini mpaka kizazi chake tuliyasema kabla ya KESI hata kua na dalili na bado tunasema,Shahidi wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Mroso ameshindwa kuendelea na kesi hiyo baada ya kuoneshwa video za CCTV za benki zinazoonesha akitoa kiasi cha shilingi milioni 90 ambacho alikikabidhi kwa Sabaya akihofia kupewa kesi ya uhujumu uchumi ama kupotezwa.
Jambazi mkubwa huyoSabaya alishafutwa, ata akiachiwa leo laana itamuandama mpaka kaburini mpaka kizazi chake tuliyasema kabla ya KESI hata kua na dalili na bado tunasema,
Hakuna sababu ya kutumia kodi za wananchi vibaya ,amefungwa tiyari sijui miaka 30 ,so hata mkimukum miaka mingene 30 , which is which au lengo nikupotezea KESI ya mh Mbowe ,Kama ndo jibu Basi mmekwama Sana KESI ya mh Mbowe ndo Sasa KILA ikialishwa masaa yanachelewa kuisha
Sabaya afungwe Iyo miaka 30 au muachieni Basi kuliko poteza pesa za umma
takataka kama hizo unaziblock, zitakupotezea muda kusoma post zao maana you can not avoid reading unless they are blockedUmeelewa kweli au umeamua tu kujivua akili kama mwanachama mkereketwa wa chama chetu
Sheria zinasemaje, je atarudishiwa pesa zake? Au ndo anafungwa tu?Shahidi wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Mroso ameshindwa kuendelea na kesi hiyo baada ya kuoneshwa video za CCTV za benki zinazoonesha akitoa kiasi cha shilingi milioni 90 ambacho alikikabidhi kwa Sabaya akihofia kupewa kesi ya uhujumu uchumi ama kupotezwa.
lazima alipe mseeSheria zinasemaje, je atarudishiwa pesa zake? Au ndo anafungwa tu?
wanasema alikuwa akilia tu kila akiangalia hiyo video inamkumbusha jinsi alivyosulubiwa na sabaya hadi akatoa pesa. kumbuka ni mwanaume, analia mbele za watu na anapandwa na hasira hadi anashindwa kuongea. nenda youtube kuna video nyingi watu wamepost.Naomba kujua ni kwa nini ameshindwa kuendelea na kesi. Yani baada ya camer kuonesha ni kwa nini sasa ameshindwa kuendelea na kesi wakati yeye ni shahidi?
kweli wewe ni kiazi. Alitoa akamkabidhi Sabaya km ushahidi unavyosema siyo. Au alimpa za nini.Kwa hiyo unyama wa Sabaya uko wapi kwa mtu anaetoa pesa zakw benki?
Ok. Ahsante kaka nimekuelewa maana taarifa ya ITV yenyewe imeshindwa kufafanua kwa nini ameshindwa kuendelea na kesi. Hata hvyo nashukuru sana kwa ufafanuziwanasema alikuwa akilia tu kila akiangalia hiyo video inamkumbusha jinsi alivyosulubiwa na sabaya hadi akatoa pesa. kumbuka ni mwanaume, analia mbele za watu na anapandwa na hasira hadi anashindwa kuongea. nenda youtube kuna video nyingi watu wamepost.
Wewe Ni mbumbumbu mkuu kaa tu kimya km hiyo mistari michache umesoma na hujaelewa.Fact haiwezi kuwa established kwa staili.