This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
kiasi Cha shilingi milioni 90 ambacho alionekana akimkabidhi ole Sabaya. Au kasome tena rudia hata mara 4 utaelewaHuyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
Mpumbavu hawezi kuelewa bali mwenye akili sawa!! Mtu unatetea ukatili kiss hujafanyiwa wewe siku yakukute tuu utaelewaHuyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
Yaani huu hiyo Kamera ukitumia kama kielelezo hata ambaye hajasoma uwakili anashinda kweupeeShahidi wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Mroso ameshindwa kuendelea na kesi hiyo baada ya kuoneshwa video za CCTV za benki zinazoonesha akitoa kiasi cha shilingi milioni 90 ambacho alikikabidhi kwa Sabaya akihofia kupewa kesi ya uhujumu uchumi ama kupotezwa.
Kuna awamu ambayo watu hawajipendekezi? Hata awam iliyopita, aina fulan ya watu walijipendekeza mpaka wakataka kuongeza madaraka kwa bossTatizo hata waliopo saizi, hawafanyi ya akina Sabaya, ila ni wapigaji, watu wa kujipendekeza n.k
Zingekuwepo ingetolewa siku nyingi sana.Hizo camera Zikimuonyesha chairman akipanga mipango yake ya kigaidi uje utuletee na uzi pia!
Sabaya kakata rufaa mwenyewe au nawe umetoka usingizini.Sabaya alishafutwa, ata akiachiwa leo laana itamuandama mpaka kaburini mpaka kizazi chake tuliyasema kabla ya KESI hata kua na dalili na bado tunasema,
Hakuna sababu ya kutumia kodi za wananchi vibaya ,amefungwa tiyari sijui miaka 30 ,so hata mkimukum miaka mingene 30 , which is which au lengo nikupotezea KESI ya mh Mbowe ,Kama ndo jibu Basi mmekwama Sana KESI ya mh Mbowe ndo Sasa KILA ikialishwa masaa yanachelewa kuisha
Sabaya afungwe Iyo miaka 30 au muachieni Basi kuliko poteza pesa za umma
Sabaya na Magufuli na MATAPELI. wanafanana wametumia nafasi walizopeana kuumiza na kuua watu.That was his big mistake ever. Aliamini mambo yatamwendea powa kwakuchanganya majukumu aliyokabidhiwa na uteuzi na yale yake yakitambo na genge lake.
Poor Sabaya
Chairman anawafanya mhare usiku na mchana. Ile kesi mnaona haitoshi yaani.Hizo camera Zikimuonyesha chairman akipanga mipango yake ya kigaidi uje utuletee na uzi pia!
Unapostije picha yako au unatafuta bwanaUbarikiwe 7yaView attachment 2022209
Hajaelewa,mmiliki wa akaunt ndiye aliyetoa pesa.Umeelewa kweli au umeamua tu kujivua akili kama mwanachama mkereketwa wa chama chetu
Usisahau upo wa mitandao ya simu pia. Na keshakula 30. Na bado ana case pia nyingineHuyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
Kuna sheria kuanzia kiasi Fulani lazima uombe polis wakulinde unapochukua hela,benk haikuuliza kama ana ulinzi halali au malipo yapitie akaunt?Usisahau upo wa mitandao ya simu pia. Na keshakula 30. Na bado ana case pia nyingine
hebu tutajie hiyo sheria, tafadhali.Kuna sheria kuanzia kiasi Fulani lazima uombe polis wakulinde unapochukua hela,benk haikuuliza kama ana ulinzi halali au malipo yapitie akaunt?
CCM wauaji,90M anachukua bila aibu
Jikite kwenye madaHizo camera Zikimuonyesha chairman akipanga mipango yake ya kigaidi uje utuletee na uzi pia!
Mada gani tofauti na hii!Jikite kwenye mada
Shughuli unayo!Chairman anawafanya mhare usiku na mchana. Ile kesi mnaona haitoshi yaani.
Hilo wala sio kubwa!Camera za kuwaonesha akina lingwenya wakipokelewa central police pia ni muhimu zipatikane
Itafahamika tu!Zingekuwepo uingetolewa siku nyingi sana.
Kwa kuwa hazipo ndio wanahangaika na upuuzi wa kuingia na Diary kizimbani
Umeambiwa akimpa izo fedha kijana wa 7yaHuyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?