Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

Huyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
kiasi Cha shilingi milioni 90 ambacho alionekana akimkabidhi ole Sabaya. Au kasome tena rudia hata mara 4 utaelewa
 
Huyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
Mpumbavu hawezi kuelewa bali mwenye akili sawa!! Mtu unatetea ukatili kiss hujafanyiwa wewe siku yakukute tuu utaelewa
 
Shahidi wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Mroso ameshindwa kuendelea na kesi hiyo baada ya kuoneshwa video za CCTV za benki zinazoonesha akitoa kiasi cha shilingi milioni 90 ambacho alikikabidhi kwa Sabaya akihofia kupewa kesi ya uhujumu uchumi ama kupotezwa.
Yaani huu hiyo Kamera ukitumia kama kielelezo hata ambaye hajasoma uwakili anashinda kweupee
 
Sabaya alishafutwa, ata akiachiwa leo laana itamuandama mpaka kaburini mpaka kizazi chake tuliyasema kabla ya KESI hata kua na dalili na bado tunasema,

Hakuna sababu ya kutumia kodi za wananchi vibaya ,amefungwa tiyari sijui miaka 30 ,so hata mkimukum miaka mingene 30 , which is which au lengo nikupotezea KESI ya mh Mbowe ,Kama ndo jibu Basi mmekwama Sana KESI ya mh Mbowe ndo Sasa KILA ikialishwa masaa yanachelewa kuisha

Sabaya afungwe Iyo miaka 30 au muachieni Basi kuliko poteza pesa za umma
Sabaya kakata rufaa mwenyewe au nawe umetoka usingizini.
 
Kuna Kundi kubwa La Vijana Wanaojiita UVCCM wala Hawaipendi CCM Ni wanafiki tu...Wako CCM kimaslahi Na Wengi wanaona Kusifu Viongozi ili wapewe kanafasi ndio njia pekee kuwasaidia Kuishi....

SABAYA NI Mtu alitakiwa Kufungwa Siku Nyingi na sio Yeye tu wako wengi hata ndani Ya Utumishi wa Umma wanatakiwa wawe jela walitenda maovu Mengi..Sio Sera Ya CCM kuumiza watu wala kuwanyanyasa na kuwagasi...Sio sera Ya CCM kupiga na Kuua watu sio....
 
Umeelewa kweli au umeamua tu kujivua akili kama mwanachama mkereketwa wa chama chetu
Hajaelewa,mmiliki wa akaunt ndiye aliyetoa pesa.
Picha zimemuonyesha sabaya akipokea?
Picha zimeonyesha sabaya akiwa benk?
Huyo kijana labda kwakuwa aliingia benk.
 
Huyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
Usisahau upo wa mitandao ya simu pia. Na keshakula 30. Na bado ana case pia nyingine
 
Usisahau upo wa mitandao ya simu pia. Na keshakula 30. Na bado ana case pia nyingine
Kuna sheria kuanzia kiasi Fulani lazima uombe polis wakulinde unapochukua hela,benk haikuuliza kama ana ulinzi halali au malipo yapitie akaunt?
CCM wauaji,90M anachukua bila aibu
 
Kuna sheria kuanzia kiasi Fulani lazima uombe polis wakulinde unapochukua hela,benk haikuuliza kama ana ulinzi halali au malipo yapitie akaunt?
CCM wauaji,90M anachukua bila aibu
hebu tutajie hiyo sheria, tafadhali.
 
Huyo shahidi aonyeshe akimpa Sabaya pesa. Huo ndio unaweza kuwa ushahidi. Kwa hiyo wote waliotoa pesa siku hiyo walitoa ili kumpa Sabaya?
Umeambiwa akimpa izo fedha kijana wa 7ya
 
Back
Top Bottom