Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli.
Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na uchumi ila Iran inategemea zaidi uwezo wake mkubwa wa kuhimili. Vita itaisha pale uwezo mkubwa wa Iran kuhimili bila kuchoka utakapofika mwish, Marekani iamue kuifuta Iran kabisa kwa nuclear au carpet bombing au mazungumzo.
Hivi ndivyo ilivyo kesi ya Serikali na Lissu, itaisha pale tu ambapo Lissu atachoka kukaa gerezani, Serikali kuamua kumfunga maisha, kumnyonga au kuindoa kesi mahakamani.