Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #21
Wewe atheist tangu lini umeanza kuamini mambo ya kishetani??Obama ni mzee wa msoga Aliye changamka
Mtu Fulani hivi anajifanya decent mbele ya camera kumbe ni Joka mla watu ,
Mimi binafsi nikisikia kuwa Obama na team yake wameshughulikiwa Nita chinja mbuzi na kugawa sadaka ,
Obama na team yake ndio chanzo kikuu Cha uvunjifu wa amani Duniani ni matapeli wa siasa wanyonya damu war mongas hapo Bado hatuja ongeleea masuala Yao machafu ya agenda zao za LGBTQ
Watu Fulani hivi ushetani upo ndani Yao na Wana Furahia kuuishi , In short Obama na team yake wanapaswa kupokwa power waliyonayo ili kui save Dunia Kwa kiwango Fulani
Rais gani wa Marekani aliyeanzisha vita Afghanistan na Iraq?