Kesi ya Tundu Lissu kuendelea kesho Mahakama ya Kisutu, maelfu watarajiwa kuhudhuria

Kesi ya Tundu Lissu kuendelea kesho Mahakama ya Kisutu, maelfu watarajiwa kuhudhuria

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa inayozunguka dunia nzima kwa sasa, kwamba Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Lissu, atatua Mahakamani kisutu kukabiliana na tuhuma zake .

Vyombo mbalimbali vya kimataifa vinatarajiwa kuwepo na kurusha dunia nzima .

Wote mnakaribishwa.
 
Hizi keis zinaweza kupelekwa haraka na hukumu zikatoka kabla ya tarehe ya uchaguzi.

Uamuzi wowote wa kumfunga Lissu, utakuwa ni kosa lingine mbali na like la Lissu kupigwa risasi.

Mandela wa Bongo in the making!
 
Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siri sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= mipato Cha chini!
Eti na wewe unajikuta mzalendo wakati kwenye avatar yako umeweka mabeberu wawili.
 
Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siri sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= mipato Cha chini!
pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom