Kesi ya Tundu Lissu kuendelea kesho Mahakama ya Kisutu, maelfu watarajiwa kuhudhuria

Hapo kwenye rangi ndiyo umeandika upuuzi gani? 😳😳😳

Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siri sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= mipato Cha chini!
 
Hii ndio taarifa inayozunguka dunia nzima kwa sasa , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Lissu , atatua Mahakamani kisutu kukabiliana na tuhuma zake .

Vyombo mbalimbali vya kimataifa vinatarajiwa kuwepo na kurusha dunia nzima .

wote mnakaribishwa.
kuna vitu serikali yajichoresha bila sababu hivi washauri wa kisiasa kwa chama dola wameisha why mnafanya vitu vya kumtafutia sifa mpinzani wenu nakumpaisha kisiasa zaidi bila sababu? yan unamblandi adui wako ? sasa nawambia lissu hata mgemuweka ndandi
moja mtajuta na pili atapata kura ambazo hamtutakuja sahau zitakua mara 3 ya kura za 2015 za lowasa , haya ni mambo tunapewa na alie umba mbingu na dunia japo hatuna makanisa na hatujiiti sijui mitume wala manabii maana bado hatjapewa kibali but
yapo mambo mazito juu ya taifa hili mpaka unajiuliza hivi huu ujumbe napewa na mungu au ni ndoto za alinacha hasa binafsi maana mpaka sasa tangu mwaka umeanza kila kitu kama nakiona live kitokeapo
Nishukuru serikari na vyombo vyote vya ulinzi tz mmefanya jambo kubwa ujio wa lissu sasa nawashauri tena kesi za upande wake dhidi ya serikali futa zote but si lazima nimetoa maoni ,ila mzee wangu SIRRO IGP kuna kipindi kigum sana ila mungu atakutetea
naishia hapo kwa leo
 
Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siri sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= mipato Cha chini!
Habari hapo ni mtu aliyepigwa risasi 16, waliompiga hawajapatikana...ila yeye anaendelea kushtakiwa kwatuhuma za mambo yaleyale yanayohisiwa kusababisha kumwagiwa risasi!
 
Eti dunia nzima kufuatilia😀😀. Nyumbu ni mpuuzi ila roboti la nyumbu litakuwa puuzi mara dufu(level walizofikia wana bavicha wengi)
 
Vyombo mbalimbali vya kimataifa vinatarajiwa kuwepo na kurusha dunia nzima
Tanzania ni sovereign country. Ni akili mgando tu ndizo zinafikiri hicho ulichokiandika. Eti kesi za Tundu Lisu zitafuatiliwa na Uchina, India, Brazil, Nigeria, Misiri na nchi zingine zote zipatazo 95 duniani! Fikira za namna hiyo ni uwendawazimu (physcopathatic paranoid delusions). Watakaofuatilia ni makampuni ya kigeni yaliyokuwa yanainyonya nchi yetu ambayo tumeyatimulia mbali hususani kampuni ya Acasia ambayo ndiyo sponsor wake mkuu.

Acheni sheria za nchi yetu zichukue mkondo wake. Dreva wake lazima arudishwe nchini ili hao walisanii waliotaka kuichonganisha serikali kwenye tukio hilo wabainike na kuadhibiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
 
Hebu mstari toka Mithali 3:5-6 kama ulivyoquote mwenyewe, then kwa ulichoandika hapa utuambie je, wamwamini Mungu kwa moyo wako wote and ktk njia zako zote?

Kudai kuwa mahakama inanajisika kwa ushoga kusikiliza kesi za Lissu, vipi mwanaJF huyo unaye mtaja alishataka ushirika na wewe ktk hilo jambo? Je, ulishawahi kumuona ama kumsikia akihamasisha hayo?
Hebu acha kupamba kitu kisichopambika! Huyo mtu wenu hafai hata Kuwa mjumbe wa mtaa jamani vipi nyie!⁷
 
Tanzania ni sovereign country. Ni akili mgando tu ndizo zinafikiri hicho ulichokiandika. Eti kesi za Tundu Lisu zitafuatiliwa na Uchina, India, Brazil, Nigeria, Misiri na nchi zingine zote zipatazo 95 duniani! Fikira za namna hiyo ni uwendawazimu (physcopathatic paranoid delusions). Watakaofuatilia ni makampuni ya kigeni yaliyokuwa yanainyonya nchi yetu ambayo tumeyatimulia mbali hususani kampuni ya Acasia ambayo ndiyo sponsor wake mkuu.

Acheni sheria za nchi yetu zichukue mkondo wake. Dreva wake lazima arudishwe nchini ili hao walisanii waliotaka kuichonganisha serikali kwenye tukio hilo wabainike na kuadhibiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
wale wachimbaji waliozikwa na ccm wakiwa hai huko kanda ya ziwa ili kupisha wawekezaji mliwafufua ?
 
Uzur mahakama Zina Sheria zake Yan hata ukijamba Una kesi Sasa nyie nenden mkifikir Pale ni airport
 
Mtachoka tu sababu hata mabeberu Wana zijua Sheria na hawato ruhusiwa kuingilia Mambo ya ndani
 
Hizi keis zinaweza kupelekwa haraka na hukumu zikatoka kabla ya tarehe ya uchaguzi.

Uamuzi wowote wa kumfunga Lissu, utakuwa ni kosa lingine mbali na like la Lissu kupigwa risasi.

Mandela wa Bongo in the making!
Hawaoni hilo macho Yao na akili vimepigwa upofu ili maandiko yatimie.
 
kuna vitu serikali yajichoresha bila sababu hivi washauri wa kisiasa kwa chama dola wameisha why mnafanya vitu vya kumtafutia sifa mpinzani wenu nakumpaisha kisiasa zaidi bila sababu? yan unamblandi adui wako ? sasa nawambia lissu hata mgemuweka ndandi
moja mtajuta na pili atapata kura ambazo hamtutakuja sahau zitakua mara 3 ya kura za 2015 za lowasa , haya ni mambo tunapewa na alie umba mbingu na dunia japo hatuna makanisa na hatujiiti sijui mitume wala manabii maana bado hatjapewa kibali but
yapo mambo mazito juu ya taifa hili mpaka unajiuliza hivi huu ujumbe napewa na mungu au ni ndoto za alinacha hasa binafsi maana mpaka sasa tangu mwaka umeanza kila kitu kama nakiona live kitokeapo
Nishukuru serikari na vyombo vyote vya ulinzi tz mmefanya jambo kubwa ujio wa lissu sasa nawashauri tena kesi za upande wake dhidi ya serikali futa zote but si lazima nimetoa maoni ,ila mzee wangu SIRRO IGP kuna kipindi kigum sana ila mungu atakutetea
naishia hapo kwa leo

Mimi ungenuiliza ningekujibu kwenye Inbox yako na kwa upana, lakini nitakufungua sayansi ya siasa (THE ART OF WAR FOR VICTORS AGAINST THE VANGUISHED ) Nitajitahidi kukuelimisha japokuwa ningejieleza vizuri kwa kiingereza.

Kwa kifupi Lissu hana madhara kabisa kabisa na kwa hali yeyote. Jamii ambayo angeisisimua sasa hivi sasa haiitaji kiongozi yeyote mbali ya Magufuli.

Na kundi la kwako na ambao wapo humu mtandaoni wanauwezo kidogo ya kuweza kupima chochote kinachoweza kuwatokea na madhara ya kisiasa na kiuchumi CCM. Na idadi kubwa wamehama yawezekana moja kwa moja. Kura ya maoni ya washiriki wanao taka kugombea Ubunge kupitia CCM inaweza kukupa picha halisi.

Chadema sasa hivi wako very broke na hawatoweza kuwa na nguvu ya kuwafikia wananchi kwa wingi kampeni ya uchaguzi 2020.

Kampeni machinery ya CCM itakapo anza kama wote tupo humu JF naomba unikumbushe haya mengi jinsi Lissu atakavyo sagwa sagwa kwenye kampeni mpaka ninyi Chadema mtamuona a liability. Zile crip za alivyo ongea Ulaya na Marekani na salamu zake mara zitakavyo anza kurushwa kwenye runinga mtajuta kwa nini Lissu ni Presidential Candidate.

Nina mengi lakini nitakuwa nakupa kidogo kidogo.
 
Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siro sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= kipato Cha chini!

Ulishapaniki tayari. Hivi jina Lissu unaliruhusuje liishi kichwani bila kulipa kodi yoyote halafu likutese hivi???
 
Mimi ungenuiliza ningekujibu kwenye Inbox yako na kwa upana, lakini nitakufungua sayansi ya siasa (THE ART OF WAR FOR VICTORS AGAINST THE VANGUISHED ) Nitajitahidi kukuelimisha japokuwa ningejieleza vizuri kwa kiingereza.

Kwa kifupi Lissu hana madhara kabisa kabisa na kwa hali yeyote. Jamii ambayo angeisisimua sasa hivi sasa haiitaji kiongozi yeyote mbali ya Magufuli.

Na kundi la kwako na ambao wapo humu mtandaoni wanauwezo kidogo ya kuweza kupima chochote kinachoweza kuwatokea na madhara ya kisiasa na kiuchumi CCM. Na idadi kubwa wamehama yawezekana moja kwa moja. Kura ya maoni ya washiriki wanao taka kugombea Ubunge kupitia CCM inaweza kukupa picha halisi.

Chadema sasa hivi wako very broke na hawatoweza kuwa na nguvu ya kuwafikia wananchi kwa wingi kampeni ya uchaguzi 2020.

Kampeni machinery ya CCM itakapo anza kama wote tupo humu JF naomba unikumbushe haya mengi jinsi Lissu atakavyo sagwa sagwa kwenye kampeni mpaka ninyi Chadema mtamuona a liability. Zile crip za alivyo ongea Ulaya na Marekani na salamu zake mara zitakavyo anza kurushwa kwenye runinga mtajuta kwa nini Lissu ni Presidential Candidate.

Nina mengi lakini nitakuwa nakupa kidogo kidogo.
huna lolote
 
Back
Top Bottom