ok mkuu ebu nishauri mwana sayansi ya siasa uliebobea mwaka huu kura nimpe nani mkuu,maana nimeona niliyetaka kumpa kura akilaum wananchi kumpa kiongozi kura na ndo maana stendi iyo sehem haijajengwa , vipi alikua sahii mkuu na nimpe kura mwaka huu ushauri mtahalam wa sayansi ya siasa. NOTE tangu 2010 nimpigaji mzuri wa kura but sijawai kujiunga na chama chochote mkuu ila kwenye kupiga kura huwa naangalia sera na mgomea binafsi so waweza kuta diwani nikampa upinzani ubunge nikampa chama tawala na uraisi nikampa upinzani hivyo hivyo ndo upigaji wa kura zangu mfano elf 2015 nilimpa magu but 2010 nilimpa slaa upande wa rais so mwaka huu wasemje mkuu
Kwanza napenda nikufahamishe, siasa ni uchumi. Sababu wanasiasa ndio tuliowapa mamlaka ya kugawa resources.
1) Jee unaetaka kumpa kura anafahamu shida na mahitaji yako, na isiwe choo tuu, sababu maisha yako haya anzii na kuishia kwenye choo.
2) Mbali ya kuzifahamu , jee anaweza kuzitatua ?
3) Jee ana weza pia kutatua shida zitakazo jitokeza kutokana na kutatua shida zako. Ukitatua shida huza shida nyingine au zaidi, na huo ndio mfumo mzima wa maisha.
MIFANO;
1) Ukijenga shule za msingi, unatakiwa uwe tayari kuongeza shule za secondari
2) Utatakiwa pia kuongeza vyuo.
3) Unatatakiwa uongeze nafasi za kazi au opportunities za kupata kipato baada ya kupata elimu.
4) Watu watafanya kazi kwa muda mrefu lakini watazeeka, kuanzia hapo unatakiwa utafute njia za kujikimu baada ya kufanya kazi na kuzeeka.
5) Uwatafutie njia ya kupata tiba hata kama hawato kuwa na uwezo wa kulipa huduma za afya.
6) Na kama sehemu za makaburi ya kuzikia baada ya watu wakizeeka na kufa ni za taabu, inabidi ziongezwe kwa kuwa anaezaliwa hufa.
7) You vote for one who supports and who eventualy covers a full circle of your life.
8) Usimpigie kura mtu ambae hana institutions za kumaliza shida zako. Vote for some one who can control means of live and wealth creation opportunities. ama kinyume chake unampigia kura mtuu anaekuahidi mambo ya kufikirika.
Sasa kama kufikirika huondoa matatizo yako mpigie. Yeyote unaemchagua kama hana uwezo wa kukuhudumia basi huyo ni muongo.
UKWELI WA KISIASA: USIYE MPIGIA KURA ANAPOKUHUDUMIA ANAFANYA HIVYO ILI KURA YA KIPINDI KINACHOFUATA ANATAKA UMPIGIE.
LAKINI KI UHALISIA HANA HAJA YA KUTOA HUDUMA YAKE KWAKO.
MWANASIASA ANAADHIBIWA KWA KURA TUU, KAMA KURA YAKO SIYO YA LAZIMA KWA YEYE KUKUTAWALA NA YEYE PIA HANA WAJIBU WA LAZIMA WA KUKUHUDUMIA. NA WEWE HUNA NJIA YA KUMUWAJIBISHA KWA KUWA HATA BILA YA KURA YAKO BADO ATAKUTAWALA.
This is a brutal truth of politics of choices ( elections ), zingine zote ni alinacha za kisiasa.