Kesi ya Tundu Lissu kuendelea kesho Mahakama ya Kisutu, maelfu watarajiwa kuhudhuria

Kesi ya Tundu Lissu kuendelea kesho Mahakama ya Kisutu, maelfu watarajiwa kuhudhuria

Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siro sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= kipato Cha chini!
Wewe mwenyewe ni shoga usidhani wengine ni shoga kama wewe kunajisi mahakama zenu ipi? Kwani wewe na wenzako ndiyo wamiliki wa mahakamaccm? Wewe unayezuia watu kuja kushuhudia ushetani wenu ndiyo huna Adabu, Siro hutegemei awaangushe na watanzania wa wapi? Unawasemea watanzania gani hao? Kuna watanzania wenye Akili ndogo wanaweza kuwa nyuma yako?
 
Tuliza mihemko ndg! TL asitafute huruma wa wananchi! Na Wala asiwaingize raia kwenye Mambo binafsi! Apambane na Hali yake .mnyewe!
Kubambikiwa kesi na CCM ni mambo binafsi? Usiwe mtabiri wa kuhisi huruma ya wananchi wakati kesi zenu ni za kutengeneza kuwakomoa wapinzani, acha wananchi wajue udhalimu wenu
 
Si ukawaulize hao wa dunia nzima na vyombo hivyo mbali mbali vya kimataifa?
Cyprian Musiba leo kashinda kwa waganga wa kienyeji akihaha juu ya Tundu lisu, anasaka uteuzi baada ya kuangukia pua kwenye kura za maoni
 
Za uvunguni: Wadhamini watawakilisha hati za kuomba kujitoa katika dhamana walizo muwekea TAL. Sijui ni kweli ?
Hujuma zote zinajulikana ndiyo maana Tundu lisu atakwenda na wakili wa mahakama ya The Hague awe shuhuda vituko vya mahakamaccm kisha wajue pa kuanzia juu ya viongozi wa CCM wanaoingilia uhuru wa mahakama.
 
Utendaji wote wa mahakamaccm sasa unaenda kutizamwa na vyama taasisi za haki za binadamu kote Duniani hata kama Le mutuz na cyprian Musiba wanashinda na kukesha kwa waganga wa kienyeji kumzuia Tundu asitangaze mapungufu yote.
 
Uteuzi CCM inategemeana jinsi msaka uteuzi atakavyomsakama Tundu lisu, ukimsakama wakalizika na usakamaji wako lazima ukwae uteuzi
 
Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siro sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= kipato Cha chini!
Jitu km hili ukikutana nalounaweza kuliona hata kutabasamu km TL haliwezi. Na bado, kapigwa Lisasi 16 anatoa tabasamu murua kama lote, wewe ambaye unapewa tu maagizo sura kama umeambiwa uonye sumu.
 
Hizi keis zinaweza kupelekwa haraka na hukumu zikatoka kabla ya tarehe ya uchaguzi.

Uamuzi wowote wa kumfunga Lissu, utakuwa ni kosa lingine mbali na like la Lissu kupigwa risasi.

Mandela wa Bongo in the making!
Savimbi huyo
 
Vyimbo vta kimaifa ndoo mtaa gani ? Vinakusaidia nini ?
Hii ndio taarifa inayozunguka dunia nzima kwa sasa , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Lissu , atatua Mahakamani kisutu kukabiliana na tuhuma zake .

Vyombo mbalimbali vya kimataifa vinatarajiwa kuwepo na kurusha dunia nzima .

wote mnakaribishwa.
 
Vyombo vya kimataifa ndoo mtaa gani ? Vinakusaidia nini wewe ?
Hii ndio taarifa inayozunguka dunia nzima kwa sasa , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Lissu , atatua Mahakamani kisutu kukabiliana na tuhuma zake .

Vyombo mbalimbali vya kimataifa vinatarajiwa kuwepo na kurusha dunia nzima .

wote mnakaribishwa.
 
kuna vitu serikali yajichoresha bila sababu hivi washauri wa kisiasa kwa chama dola wameisha why mnafanya vitu vya kumtafutia sifa mpinzani wenu nakumpaisha kisiasa zaidi bila sababu? yan unamblandi adui wako ? sasa nawambia lissu hata mgemuweka ndandi
moja mtajuta na pili atapata kura ambazo hamtutakuja sahau zitakua mara 3 ya kura za 2015 za lowasa , haya ni mambo tunapewa na alie umba mbingu na dunia japo hatuna makanisa na hatujiiti sijui mitume wala manabii maana bado hatjapewa kibali but
yapo mambo mazito juu ya taifa hili mpaka unajiuliza hivi huu ujumbe napewa na mungu au ni ndoto za alinacha hasa binafsi maana mpaka sasa tangu mwaka umeanza kila kitu kama nakiona live kitokeapo
Nishukuru serikari na vyombo vyote vya ulinzi tz mmefanya jambo kubwa ujio wa lissu sasa nawashauri tena kesi za upande wake dhidi ya serikali futa zote but si lazima nimetoa maoni ,ila mzee wangu SIRRO IGP kuna kipindi kigum sana ila mungu atakutetea
naishia hapo kwa leo
Wanaodili na kesi ni Mahakama mkuu. Na hizi kesi ni za muda mrefu sana kabla hajaondoka, hiyo tarehe ya kusikiliza kesi ilishapangwa muda pia, hata asingekuwepo ingesikilizwa tu.
 
Back
Top Bottom