Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Eti na wewe unajikuta mzalendo wakati kwenye avatar yako umeweka mabeberu wawili.Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siri sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= mipato Cha chini!
Hakuna kesi pale mkuuHizi keis inaweza kupelekwa haraka na hukumu ikatoka kabila ya tarehe ya uchaguzi.
pole sana mkuuAcheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siri sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= mipato Cha chini!
Jifunze kukaa kimya kama jambo limekupita kimo.Acheni kunajisi mahakama zetu kwa kuendelea ushoga! Hizo ni kesi zonamhusu TL, wengine mjazane mna kesi hapo! Mbona mnakosa adabu na maadili! Au hamjiamini!? Yaani Siri sitegemei atuangushe watz tunaotaka maendeleo ya kuvuka 4,000/= mipato Cha chini!
Akili yako nyembamba utawezaje elewa!?Eti na wewe unajikuta mzalendo wakati kwenye avatar yako umeweka mabeberu wawili.
ukiwa na akili ndogo hutaelewaLabda itakuwa dunia ya kusadikika.
Akili ndogo ikoje? Wacha kuweweseka?ukiwa na akili ndogo hutaelewa
kama yakoAkili ndogo ikoje?
Tuliza mihemko ndg! TL asitafute huruma wa wananchi! Na Wala asiwaingize raia kwenye Mambo binafsi! Apambane na Hali yake .mnyewe!Jifunze kukaa kimya kama jambo limekupita kimo.