Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Vatican TV imeonyesha?Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Sijui. Kaiangalie halafu ulete mrejesho.Vatican TV imeonyesha?
Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.
Kwenye mazingira yaliyo ya haki, huru, na uwazi, Samia vs Lisu is a mismatch.
Chini ya mazingira haya niliyoyataja, ni Tundu in a landslide!
Lisu 91%.
Samia 6.4%.
Yaani CCM na Samia wanajua kabisa endapo kutakuwa na uchaguzi huru na haki wamekwisha mapema kabisaHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
Aidha kwa kujua ama kwa upumbavu wao, wanampaisha kwa nguvu kubwa sana.Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Fact. Na weupe wake ndio unaleta haya matatizo yote.Samia ni mweupe mno.
Na hiyo 91% nimempendelea mno.
kuna msiba kule, acha ujingaVatican TV imeonyesha?
Kwanini 91% kwa 6.4%?Lisu 91%.
Samia 6.4%.
NINGESEMA JAMBO, LAKN NAONA WAKILI WANGU ANANIAMBY MHURI WAKE UMEHARIBIKABravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Wewe Numbisa nafahamu una kadi ya chama na pia ni kada. Na mimi pia nina kadi ya ccm kwa sababu tu ya kulazimishwa kuwa nayo.Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Watafute uwaulize.CNN vipi nao walirusha?