Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #121
Nope!
Suck [not shake] my dick.
Who ‘shakes’ dick? TF!
Nope!
😂😂😂😂 hahahhaa ila wizo nasikia ulikuwa kampen manager wa Luwassa 2015Wizo mi Sina chama na hata ingetokea nisingekua veggies tuheshimiane..!!
Hizi ndiyo takwimu eti...daah Vipi Mzee wa MIGA anapata aslimia ngapi?Nisome mimi, au usome wewe uliyekurupuka kuni quote na maelezo yako ya uongo?
Na kama unataka takwimu, ni hivi; ukifanyika uchaguzi huru na wa haki hata kesho! Huyo mgombea wako hawezi kupata asilimia 30 ya kura zote! Kwa sababu hauziki, hana sera, na hana uchungu na raslimali za nchi, na pia hana uzalendo wowote ule kwa Tanganyika.
Ngojea huyu basha wako aozee segedansi sijui utakunwa na naniKwani akishindwa inakuuma nini wewe, ni bibi yako yule?
Wewe ni mjinga sanaVatican TV imeonyesha?
Haaaaahaaaa. Hana radhi ya Mbowe, labda amuombe radhi Mbowe kwanza kwa kuratibu njama za kumg'oa kwa hila na fedheha.Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Na hao wanaovunjwa miguu wamekutwa kwenye keyboard.Hakuna hiyo kitu, mitandaoni pelapela mingi sana, with no action!, usihadaike na keyboard men
Siasa noumaaaa
Pia inafaa ushahidi wa hayo matukio ya jinai utumike kuwaburuza hao wahalifu kwenye mahakama ya ICC, The HagueKuna Makala nyingi zinaandaliwa kwa sasa kwa kila matukio yanayoendelea pamoja na umwagaji damu wajana. Makala zitaombewa airtime BBC World , CNN na Al Jazeera. Pia kuna Clip ya Ali kibao alipochomolewa kwenye bus…. Kuna record zimefanyiwa print out zitakuwa ni sehemu ya Makala. Bus la Tashreef lilikuwa na hidden Camera kila kona. Print Out ipo
Hao ni wewe keyboard warrior umewapotosha 😁😁😁Na hao wanaovunjwa miguu wamekutwa kwenye keyboard.
Msimdekeze Rais,kua hajui kinachoendelea.Mi naamini anajua.Mimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
Mkuranga ni Zanzibar ??Kosa la watanganyika hilo, ulisasikia Zanzibar ikatawaliwa na mtanganyika?
Kwa hiyo unashauri watu wenye ngwengwe wafanywaje?Malcolm Webb kituo Nairobi aliko maria sarungi, Webb anajua kuwa Maria ana ngwengwe!?.. ARV zimekua chachu siku hizi, shauri yake
Hata ingepata nafasi ikulu ya white house hakuna kitakachobadilika.Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View attachment 3314914
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Kwa Tume hii haishindi mkuuHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Kila kitu kina mwishoHao ni wewe keyboard warrior umewapotosha 😁😁😁