Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Atashinda vipi wakati hamjui idadi ya majini tulioweka kupiga kura kwa Samia?Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Atashinda vipi wakati hamjui idadi ya majini tulioweka kupiga kura kwa Samia?Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Hili halina ubishi hata kidogo, Lissu is incomparable, kwenye mazingira free and fair Samia hamuwezi hata kidogo ndio maana unaona ngonjera na ujinga wa kiwango cha juu kabisa unaoendelea sasa.Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.
Kwenye mazingira yaliyo ya haki, huru, na uwazi, Samia vs Lisu is a mismatch.
Chini ya mazingira haya niliyoyataja, ni Tundu in a landslide!
Lisu 91%.
Samia 6.4%.
Hilo lipo waziKuna Kundi kubwa la Wana CCM hawafurahishwi na Mama na ndio wana mfanyie Surbonination ili itokee Mkwamo, Miaka Mingi hatujawahi Kuona Chaos kama izi mahakamani leo iweje watu wapigwe kiasi kile?
Kuna advisors wake wanataka Mama Akawmwe
Ni swala la muda mtu. Mtapata audience mnayoitafutaCNN vipi nao walirusha?
Hilo lipo wazi snNi mpuuzi anayeweza kuruhusu mabadiliko yatakayofanya waondoke madarakani. Hata kichaa anajua kuwa kukiwa na uchaguzi huru, ccm bye bye
Kosa la watanganyika hilo, ulisasikia Zanzibar ikatawaliwa na mtanganyika?Sure hii ni serikali dhalimu haswa
Hakuna hiyo kitu, mitandaoni pelapela mingi sana, with no action!, usihadaike na keyboard menHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Nakubali mzee wa USA BABY.Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.
Kwenye mazingira yaliyo ya haki, huru, na uwazi, Samia vs Lisu is a mismatch.
Chini ya mazingira haya niliyoyataja, ni Tundu in a landslide!
Lisu 91%.
Samia 6.4%.
Na yeye asije kukamatwa kwa kosa la “kusambaza taarifa za kulichafua Taifa kimataifa”Ni correspondent wa Kenya, ndyo amepeleka story ili apate mkate
Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
AmeeenNa wote tuseme Amen
Sijakuelewa mkuuKosa la watanganyika hilo, ulisasikia Zanzibar ikatawaliwa na mtanganyika?
Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Wameonesha Iman 📺Vatican TV imeonyesha?
Njia zote anazopitia kama unajicho la rohoni unaona kabisa nia maandalizi ya kuwa raisiHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
CCM hawatamuachia Lissu mpaka baada ya uchaguzi. Wanamuogopa.Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Ashinde Kwa tume ipi?Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda