Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Bravissimo Al-Jazeera!

Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.

Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.

Atayeharibu, atachanwa tu.

Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.

View attachment 3314914

Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!

Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.

Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Muda utaongea......we have said this and we will keep saying
 
Ni mpuuzi anayeweza kuruhusu mabadiliko yatakayofanya waondoke madarakani. Hata kichaa anajua kuwa kukiwa na uchaguzi huru, ccm bye bye
Kwani unafikiri hawajui? Wanajua sana tu ndio maana wanapiga dana dana.
 
Wevening
Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
usawa huyo kiajuza chenu round ya kwanza chsli. Msijifije nyuma ya policcm muone cha mtema kuni.
 
Back
Top Bottom