Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Na wote tuseme AmenHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Na wote tuseme AmenHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Ni mpuuzi anayeweza kuruhusu mabadiliko yatakayofanya waondoke madarakani. Hata kichaa anajua kuwa kukiwa na uchaguzi huru, ccm bye byeHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Mimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.Aidha kwa kujua ama kwa upumbavu wao, wanampaisha kwa nguvu kubwa sana.
Asingekuwa anafurahia angezuia haya kutendekaMimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
una majibu ya nyodo, bangi ya wapi unavuta?Watafute uwaulize.
Anayo mamlaka ya kukomesha yanayoendelea.Mimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
Kwani akishindwa inakuuma nini wewe, ni bibi yako yule?Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
Kwa Tume Huru ya uchaguzi CCM na mama yao hawawezi kushinda. Vijana Tanzania tunapinga mauaji ya wananchi kwa ajili ya kudai hakiHuyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Hapo ameongelea TL Vs SSH ,na si TL Vs SSH ft doraHapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
Mtu akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaupokea ,atakudharu sana ,by Jk NyerereKuna Kundi kubwa la Wana CCM hawafurahishwi na Mama na ndio wana mfanyie Surbonination ili itokee Mkwamo, Miaka Mingi hatujawahi Kuona Chaos kama izi mahakamani leo iweje watu wapigwe kiasi kile?
Kuna advisors wake wanataka Mama Akawmwe
Huwezi kuwa Mjuzi wa Kila Kitu, Trust me Mama atavuka pia katika hiliMtu akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaupokea ,atakudharu sana ,by Jk Nyerere
Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Ni correspondent wa Kenya, ndyo amepeleka story ili apate mkateHata Trump na yeye kipindi kile alijiliza na akarushwa mitandaoni na tv zote. Ni jambo la kawaida hasa ukichukulia urafiki wa Maria Sarungi na mwandshi wa AlJazeera.
Hivi hako ka tv kanaweza vipi kuingilia nchi ya Tanzania kama kameshindwa kwenye issue ya Palestine ambako waandishi wake wanagongwa vyuma na Israel kila siku?
Rungu analo yeye ,kivipi ashindwe kulitumia kusawazisha mambo? huo ni mkakati wake yeye mwenyeweMimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
Nini kinamzuia kuongea ama kuamrisha hayo yanayoendelea yasitishwe??sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA