Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Hata Trump na yeye kipindi kile alijiliza na akarushwa mitandaoni na tv zote. Ni jambo la kawaida hasa ukichukulia urafiki wa Maria Sarungi na mwandshi wa AlJazeera.

Hivi hako ka tv kanaweza vipi kuingilia nchi ya Tanzania kama kameshindwa kwenye issue ya Palestine ambako waandishi wake wanagongwa vyuma na Israel kila siku?
Malcolm Webb kituo Nairobi aliko maria sarungi, Webb anajua kuwa Maria ana ngwengwe!?.. ARV zimekua chachu siku hizi, shauri yake
 
Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
Tena hata hizo kampa nyingi sana.
 
hiki ni kipindi chadema walipaswa kuonyesha nidhamu ya hali ya juu kuwahi kushuhudiwa
 
Bravissimo Al-Jazeera!

Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.

Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.

Atayeharibu, atachanwa tu.

Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.


View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l

Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!

Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.

Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.

Ni bahati kuwa huenda Rais moyo wake wala haupendi haya ila ni watu wachache kwa matamanio yao hupenda haya ili kutimiza matamanio mioyo yao.

Naona kama polisi waliwamisi Chadema maana tukio dogo tu limegeuzwa kuwa kubwa ili kuruhusu nguvu isiyostahili itumike.

Rais Kikwete hata kwa kinywa chake alitamani nchi itoke huku na hakupenda polisi kutumika mahali panapohitaji hoja.Bahati mbaya Magufuli akaturudisha huku.Polisi wetu wamefundishwa kutumia nguvu na kunapotokea wanafurahi kwa kuwa wanaenda kuonesha ubabe kwa watanzania wenzao ambao hata lungu hawana.

Ni vizuri kuwakumbusha vijana wetu wa polisi kuwa baada ya kazi hii kuna maisha mengine uraini au siku yoyote unaweza fukuzwa kazi ya upolisi au kuacha kwa hiari hivyo ujanani usitafute laana kwa damu za vijana wenzako bila sababu ya msingi.Umekabidhiwa bunduki ndio lakini hujakabidhiwa funguo za maisha yako daima.Bunduki isikufanye uone uko peponi bado uko duniani unasafiri.

Ni vizuri vijana wenzetu walioko polisi wakajifunza pia kwa baadhi polisi waliopo na waliostafu ambao hawaangamizi wengine kwa kukabidhiwa tu bunduki.

Tulifika pazuri baada ya Samia kuingia lakini tunarudishwa kusiko.
 
Ni mpuuzi anayeweza kuruhusu mabadiliko yatakayofanya waondoke madarakani. Hata kichaa anajua kuwa kukiwa na uchaguzi huru, ccm bye bye
Hehe acheni ndoto,,kukiwa......nani huyo atawapa hio kukiwa na uchaguzi huru,,,,au utatokea tu mbinguni
 
Wewe Numbisa nafahamu una kadi ya chama na pia ni kada. Na mimi pia nina kadi ya ccm kwa sababu tu ya kulazimishwa kuwa nayo.

Ila hiki ulichokiandika, ndiyo ukweli wenyewe. CCM wakiruhusu uwepo wa Tume huru ya uchaguzi, na yenye mamlaka ya kumtangaza mshindi halali wa uchaguzi! Vyombo vya dola hususani polisi wasiposhiriki kuleta zile vurugugu zao za miaka yote, nk. Nakuhakikishia Rais wa sasa aliyeko madarakani hawezi kushinda.

Kimsingi watu wamechoshwa na huu mfumo wa sasa wa watu wachche kujilimbikizia mali, huku mamilioni ya wananchi wengine wakiishi maisha ya kuunga unga.
Ebu tuambie hizo takwimu unazitoa wapi kua watanzania wote watampa kura Lissu? Mwisho ni Taifa gani ambalo watu wake wanaringana kiuchumi? KARIBU
 
Ebu tuambie hizo takwimu unazitoa wapi kua watanzania wote watampa kura Lissu? Mwisho ni Taifa gani ambalo watu wake wanaringana kiuchumi? KARIBU
Unapo ni quote hakikisha una sababu za msingi, na siyo unakurupuka tu. Katika maelezo yangu hakuna mahali nimeandika "Watanzania wote watampa kura Lissu"!!
 
Bravissimo Al-Jazeera!

Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.

Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.

Atayeharibu, atachanwa tu.

Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.


View: https://youtu.be/i7y-l-wiExw?si=qQSKLL8uF6t47Z-l

Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!

Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.

Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.

Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.

Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.📌🔨
 
Unapo ni quote hakikisha una sababu za msingi, na siyo unakurupuka tu. Katika maelezo yangu hakuna mahali nimeandika "Watanzania wote watampa kura Lissu"!!
Soma tena ulichokiandika..Okay tupe sasa takwimu kua Lissu atashinda maana tunashinda kwa kura
 
Soma tena ulichokiandika..Okay tupe sasa takwimu kua Lissu atashinda maana tunashinda kwa kura
Nisome mimi, au usome wewe uliyekurupuka kuni quote na maelezo yako ya uongo?

Na kama unataka takwimu, ni hivi; ukifanyika uchaguzi huru na wa haki hata kesho! Huyo mgombea wako hawezi kupata asilimia 30 ya kura zote! Kwa sababu hauziki, hana sera, na hana uchungu na raslimali za nchi, na pia hana uzalendo wowote ule kwa Tanganyika.
 
Huyu jamaa wakimuachia na kesi ikafutwa akawa na vigezo vya kugombea urais kiutani utani atashinda
Sio kiutani..Lissu ni heavyweight kwa kwa Rais huyu...
Obvious hawezi kushinda akipambana na Lissu.
Tuwe wa kweli tu wakati mwingine ingawa kuna watu wanaumia kwa sababu ya interest zao....but this is a painful fact..
 
Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.

Kwenye mazingira yaliyo ya haki, huru, na uwazi, Samia vs Lisu is a mismatch.

Chini ya mazingira haya niliyoyataja, ni Tundu in a landslide!

Lisu 91%.
Samia 6.4%.
Kuna Makala nyingi zinaandaliwa kwa sasa kwa kila matukio yanayoendelea pamoja na umwagaji damu wajana. Makala zitaombewa airtime BBC World , CNN na Al Jazeera. Pia kuna Clip ya Ali kibao alipochomolewa kwenye bus…. Kuna record zimefanyiwa print out zitakuwa ni sehemu ya Makala. Bus la Tashreef lilikuwa na hidden Camera kila kona. Print Out ipo
 
Kwa mazingira ya sasa ya uchaguzi, hatoweza kushinda hata kama akishinda kweli.

Kwenye mazingira yaliyo ya haki, huru, na uwazi, Samia vs Lisu is a mismatch.

Chini ya mazingira haya niliyoyataja, ni Tundu in a landslide!

Lisu 91%.
Samia 6.4%.
Mkuu Nyani Ngabu kwa kuwa mama anakesha kwenye Jukwaa la Jamii Forum na huu uzi lazima ameupitia na hapa atakuwa anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake akisema ......Na hili nalo mkaliangalie........
 
Back
Top Bottom