Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Nisome mimi, au usome wewe uliyekurupuka kuni quote na maelezo yako ya uongo?

Na kama unataka takwimu, ni hivi; ukifanyika uchaguzi huru na wa haki hata kesho! Huyo mgombea wako hawezi kupata asilimia 30 ya kura zote! Kwa sababu hauziki, hana sera, na hana uchungu na raslimali za nchi, na pia hana uzalendo wowote ule kwa Tanganyika.
Yaani Rais huyu mpaka jinsia yake Wanawake hawamuelewi hii si hatari wapite kimya kimya huku mtaani waulize😁
 
Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
Saa100 anapendwa na machawa wapuuzi TU!
 
Hata Trump na yeye kipindi kile alijiliza na akarushwa mitandaoni na tv zote. Ni jambo la kawaida hasa ukichukulia urafiki wa Maria Sarungi na mwandshi wa AlJazeera.

Hivi hako ka tv kanaweza vipi kuingilia nchi ya Tanzania kama kameshindwa kwenye issue ya Palestine ambako waandishi wake wanagongwa vyuma na Israel kila siku?
Unaandika huku ukiwa na hofu ya kweli moyoni; kwa akili yako hicho kibibi chenu kisichojua lolote kuhusu Tanganyika kinaweza kushinda uchaguzi dhidi ya Tundu Lissu??
 
Unaandika huku ukiwa na hofu ya kweli moyoni; kwa akili yako hicho kibibi chenu kisichojua lolote kuhusu Tanganyika kinaweza kushinda uchaguzi dhidi ya Tundu Lissu??
Chadema hawashiriki uchaguzi, hata wangeshiriki tungewatwanga
 
Nkamu usiniambie na wewe ushachoshwa na veggies wenzio? 😹
Nkamu
Hawa wanyang'anyi waogope sana
Hadi watu tusio na vyama tunafungua midomo kuongea namna tunaumizwa na mateso yao kwa wenzao wasio na hatia.
 
Kule C
Bravissimo Al-Jazeera!

Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.

Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.

Atayeharibu, atachanwa tu.

Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.

View attachment 3314914

Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!

Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.

Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.
Kule CNN napo vp
 
Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
Ugumu uko wapi!! Unafikiri kwa nini hawataki tume huru? Cj. Prof. Juma kastaafu siku nyingi Na bado wamemng'ang'ania ili mahakama zibakie upande wa ccm.
 
Nadhani inatengenezwa scenario ya kutimiza unabii wa Kikwete "labda mambo yaharibike saana!"
 
Hapo mwisho umetoa ushuzzz wa mchanganyiko wa makande na mbaazi. Na hiki ndio nyumbu mnafeli nacho Kila Wakati wa uchaguzi. Kubashiri mambo yasiyowezekana halafu nyumbu wenzako wanaunga mkono tu. Yaani 91% kwa 6.4 nawewe unajiona ni critical thinker wa JF wajameni 😂
Weka tume huru uone WATANGANYIKA watachagua nani??

Mtanganyika vs mzanzibar
 
It is
Hata Trump na yeye kipindi kile alijiliza na akarushwa mitandaoni na tv zote. Ni jambo la kawaida hasa ukichukulia urafiki wa Maria Sarungi na mwandshi wa AlJazeera.

Hivi hako ka tv kanaweza vipi kuingilia nchi ya Tanzania kama kameshindwa kwenye issue ya Palestine ambako waandishi wake wanagongwa vyuma na Israel kila siku?
Unbeleavable how stupid we become sometimes!
 
Back
Top Bottom