Chakushangaza ni kwamba kashakimbia ameruka dhamana dah
Naona alijua imekaa vibaya
Mkono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkono sio, ona sasa anaenda kuchezewa na magwiji kule jela [emoji23][emoji23]Labda hana hela ila angelipua tu haina gharama wala kero.
Akifika huko lazima nyapara amfaidi 😂😂😂Mkono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkono sio, ona sasa anaenda kuchezewa na magwiji kule jela [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ninaishi kambi ya Magereza, kun siku niko n wafungwa getini akaletwa mfungwa mpya kijana fulani mdogo tu kwa kesi ya kumtishia kumuua mama yakeMkono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkono sio, ona sasa anaenda kuchezewa na magwiji kule jela [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ninaishi kambi ya Magereza, kun siku niko n wafungwa getini akaletwa mfungwa mpya kijana fulani mdogo tu kwa kesi ya kumtishia kumuua mama yake
wale wafungwa wakaanza kumwambia "Dogo ingia ndani ukifika utusubiri, chakul tutakupa[emoji23], usijali utanyooka tu tukija leo" jingine likasema "Dogo ukiulizwa wambie we mgeni wangu[emoji1787]
Ni udhaifu wa kifikra na tamaa mbeleUstadh nae ni binadamu anapenda mbususu tatizo ni madomo zege hata kutongoza changudoa hawawezi
Nani zaifu???
Kuacha kichwa cha chini kikuongeze kubaka nao ni udhaifu, huwezi kuwa commandoNani zaifu???
Madomo zege wenye hasira za kijinga.Mfano uwe dada wa madrasa utongozwe na Ostadhi ukatae utakula bakora hamsa na ashara hata ukisoma Quran vizuri unambiwa umekosea na viboko Juu.Ustadh nae ni binadamu anapenda mbususu tatizo ni madomo zege hata kutongoza changudoa hawawezi
Mjomba ukiwa na ukame hata bata unanyandua bila khiyanaKuacha kichwa cha chini kikuongeze kubaka nao ni udhaifu, huwezi kuwa commando
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri yakiwakuta wa kwako utaelewa vyema. Akitiwa hatiani ale mvua tu. Akionewa kyna rufaa.Hakimu Anayesikiliza kesi Anaitwa Anna Mpessa.. Jamaa hawezi toboa hata kama kasingiziwa.